Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 23,172
- 48,298
Niliwahi kuweka bando Tunduma nafika Mpemba naona meseji ya 75% nikasema daa kweli hii kiboko niliwavulia kofia voda..Hadi unaashangaa au kuna mtu mna share nae bando?
Niliwahi kuweka bando Tunduma nafika Mpemba naona meseji ya 75% nikasema daa kweli hii kiboko niliwavulia kofia voda..Hadi unaashangaa au kuna mtu mna share nae bando?
Yah toa maoni 😂Naambiwa et bofya hapa au toa maoni.
Bila shida kabisa inafunguka... Pia inawezekana mtandao unaotumiaVp mkuu, kwako inafunguka?
Google kwa sasa ni bora zaidi, hasa upande wa AI mode.hapa itabidi nifafute search engine nyingine.
tatizo sio mtandao basi settings za simu yako ndiyo zinamaliza bundle lako.Niliwahi kuweka bando Tunduma nafika Mpemba naona meseji ya 75% nikasema daa kweli hii kiboko niliwavulia kofia voda..
Mh kwa hiyo tutafute simu za gharama tu.Google kwa sasa ni bora zaidi, hasa upande wa AI mode.
- Kwenye swala search engine, wengine wanajaribu , ila Google yuko vizuri zaidi.
View attachment 3709175
Kwa sasa Goodgle search inatumia latest AI model ' Gemini 4'
Natumia simu moja nikiwa hapa SA,Zambia,Botswana au Malawi mfano data niliyoweka kwa Tsh 10,000 sawa na kwatcha zao walinipatia GB kadhaa za mwezi mzima hizi nikirudi Zambia ndani ya muda huo ntakutana nazo na ntasota nazo mpaka naimaliza Zambia kutoka kazungula mpaka Nakonde maana sijamaliza mwezi toka nimepita na kurudi ila kwa Tanzania ni balaa.tatizo sio mtandao basi settings za simu yako ndiyo zinamaliza bundle lako.
- Update Google Chrome (Browser) - Then Jaribu tenaMh kwa hiyo tutafute simu za gharama tu.
Kafie mbele hukoTubuni na kuiamini injili... Mambo ya dunia yanapita pamoja na Google.
Sio lazima yaheshimiweHahahhh maoni yaheshiwe tafadhali