Nenda kaitaftie chini ya mnaraWakuu...
Mbona nikiingia google nakutana na ujumbe
" kama unatatizika kutumia
Tafuta na google bofya hapa, au tupe maoni yako"
Halafu sioni chochote? What happen.........?
Labda uzitumie JF tu ambayo haili sana MB.MB 145 mkuu, natumia miezi zaidi ya miwili kwa bando la airtel, sasa nashangaa leo kulikoni.
Hiyo meseji ina balaa sana aisee..Ndugu mteja umetumia 75% ya kifurushi chako cha intaneti. MB zilizobaki ni 145.
Ongeza salio.
Hadi unaashangaa au kuna mtu mna share nae bando?Hiyo meseji ina balaa sana aisee..
wanafanya maboreshoWakuu...
Mbona nikiingia google nakutana na ujumbe
" kama unatatizika kutumia
Tafuta na google bofya hapa, au tupe maoni yako"
Halafu sioni chochote? What happen.........?
kuna hawa halotel sijui bando linakuwa linaishaje siwaelew kabsa.Ndugu mteja umetumia 75% ya kifurushi chako cha intaneti. MB zilizobaki ni 145.
Ongeza salio.