Mbona ghafla CCM imeingiwa ganzi?

Mbona ghafla CCM imeingiwa ganzi?

Lugumi alishasulubiwa kwa kunyang'anywa mali zake na kupigwa mnada. Hukumu na adhabu aliyokwisha pata Lugumi inatosha... Kama mtanzania mkosaji ameshaadhibiwa. Utoaji wa haki unakataza kutoa adhabu mara mbili kwa kosa moja...
Mali ni deni la TRA ndio wamekamata kosa lipo palepale
 
Kitendo cha kumgalagaza Mwigulu na matisho ya Mwenyekiti wao kwa Wabunge na hatua anazotaka zichukuliwe kwa walo fanya ufisadi wa Lugumi, magari ya Polisi, NIDA nk nk mbona imeleta taharuki sio mitandaoni tuu hata mitaani kwa wapiga debe wa CCM kutulia kama wana malaria?

Pia kitendo cha kada wao Zakaria kuwatwanga risasi wasiojulikana kisha wakajulikana na kuleta taharuki kati ya uongozi wa CCM mkoa wa Mara na Tarime huku wakibishana na viongozi wa serikali kimeonyesha kufanya utetezi maandazi kwisha nguvu?

Au ndio zile njozi za kuwa chinja chinja wa hili dubwasha atatokea ndani mwao ili wa nje wasipate dhambi ya kuua chama hiki kilichokuwa cha ukombozi?
Amecheza faulo mbaya dakika mbaya sana uwanjani. Hakutakiwa kumgusa mzee wa Singida United. Yule, Nape na wazee wastaafu wengi tu ni Mabingwa wabobezi wa 'fitna' mtaniambia....tuupe muda nafasi
 
Yaweza kuwa hata mzee wa Msoga ndilo lililo muuzi hadi akapotezea mwaliko? Maana ni kijana wake huyo!
 
Amecheza faulo mbaya dakika mbaya sana uwanjani. Hakutakiwa kumgusa mzee wa Singida United. Yule, Nape na wazee wastaafu wengi tu ni Mabingwa wabobezi wa 'fitna' mtaniambia....tuupe muda nafasi

Sasa hivi kwenye CCM hakuna mwenye jeuri ya aina yoyote mbele ya JIWE! Maana wote wanamtegemea Jiwe ku-survive! SAD BUT TRUE. Tatizo la hawa vijana Nape, Mwigulu et al, hawajui/hawakujua kusoma alama za nyakati. I repeat no one in politics is indispensable. Na wakipigwa chini ubunge 2020..wajipange wakatafute maisha kwingine!

Nikimkumbuka Nape alivyokuwa anaongea kwa jeuri. Mwigulu thought he owned the country! Wako wapi?

Wakati si milele. Ukiwa na madaraka bila HUMILITY huwezi kufika popote. Na JIWE atawafukuza wengi tuu. Hata wale wanaojifanya kuitetea CCM mpaka mishipa inawavimba. It is a matter of time.

Ushauri wangu kwa WOTE walioko kwenye serikali ya JPM: JIWE hana Rafiki! Narudia tena. JIWE hana Rafiki.

Masanja,
 
Sawa
Tutazingatia ushaur
 
Kitendo cha kumgalagaza Mwigulu na matisho ya Mwenyekiti wao kwa Wabunge na hatua anazotaka zichukuliwe kwa walo fanya ufisadi wa Lugumi, magari ya Polisi, NIDA nk nk mbona imeleta taharuki sio mitandaoni tuu hata mitaani kwa wapiga debe wa CCM kutulia kama wana malaria?

Pia kitendo cha kada wao Zakaria kuwatwanga risasi wasiojulikana kisha wakajulikana na kuleta taharuki kati ya uongozi wa CCM mkoa wa Mara na Tarime huku wakibishana na viongozi wa serikali kimeonyesha kufanya utetezi maandazi kwisha nguvu?

Au ndio zile njozi za kuwa chinja chinja wa hili dubwasha atatokea ndani mwao ili wa nje wasipate dhambi ya kuua chama hiki kilichokuwa cha ukombozi?

Hivi wapinzani bado wapo?? Hivi Chadema ipo jamani?? Mbona naona siku hizi kauli za ovyo ovyo kutoka kwa viongozi wa upinzani hazitolewi tena??!!!
 
Kapona vipi, sasa mbona ana hayo magongo? Eti huyo ndio kamanda wa ufipa. Duh utapata tabu sana.
anatumia akili iko mu kichwa, hahitaji kupiga push-up, wapiga push-up si ndio hao wanaopigana na ukuta wanadhalilisha kiapo walichoapa mbele ya umma!
 
Ccm ipo imara kukamata dola 50 years to come... Pole
Thubutu ... Kila kukicha mnajicontradict wenyewe ... Chukueni tahadhari tunakoendea ni aibu ...

Kawaida ya halabadiri ni kubainisha udhalimu ...

CCM haijielwi kila kukicha

1. Ukiamka asubuhi huyu kasema hivi, yule kapinga vile ...

2. Mara yule katoa tamko hili huyu ka kanusha hivi ...

3. Utaskia walio fanya hawajulikani, Mara hao kumbe ni maafisa usalama wetu ...

4. Mara leo mtu katumbuliwa hapa, kesho anawekwa pale ...

5. Huyu kauzwa Happ kesho kanunuliwa pale ...

6. Leo kauwawa huyu rambirambi anapewa yule ...

7. Sasa katekwa kule uchunguzi unaendela huku ...

Tumakwenda tu ili mradi shaghala baghala, kutawala miaka 50 labda inchi igeuke iwee ya mazombi tu ...
 
Sasa hivi kwenye CCM hakuna mwenye jeuri ya aina yoyote mbele ya JIWE! Maana wote wanamtegemea Jiwe ku-survive! SAD BUT TRUE. Tatizo la hawa vijana Nape, Mwigulu et al, hawajui/hawakujua kusoma alama za nyakati. I repeat no one in politics is indispensable. Na wakipigwa chini ubunge 2020..wajipange wakatafute maisha kwingine!

Nikimkumbuka Nape alivyokuwa anaongea kwa jeuri. Mwigulu thought he owned the country! Wako wapi?

Wakati si milele. Ukiwa na madaraka bila HUMILITY huwezi kufika popote. Na JIWE atawafukuza wengi tuu. Hata wale wanaojifanya kuitetea CCM mpaka mishipa inawavimba. It is a matter of time.

Ushauri wangu kwa WOTE walioko kwenye serikali ya JPM: JIWE hana Rafiki! Narudia tena. JIWE hana Rafiki.

Masanja,
Sasahivi jiwe ndio chama na ndio serikali wooote kutekeleza order zake hao wa kusini wameshalielewa somo kwa hakika 2020, atakuja na majina yake mfukoni, akifanya suu! wote ni kupiga saluti, na atakae bisha ni lupango, hapo ndo sasa 2025, wote watasema aendelee mtukufuu! maana ndugu yake wa karibu kabisa ni ka-Game na mjombae ni mu-Seven na wote wanatoka ABYSINIA ndipo machozi yetu Mungu wa Yakobo na Mungu wa Ibrahim atakapo yafuta amin amin nawaambia maneno ya utabiri huu hayatapita!
 
Kivuli cha Lissu kinawanyemelea watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom