Enkorongo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 979
- 439
Kama mugabeInawezekana, lakini kwa misingi ipi? kura halali? kura za wizi? au mabavu?
Kama mugabeInawezekana, lakini kwa misingi ipi? kura halali? kura za wizi? au mabavu?
Lissu kaponaVipi huko mtaa wa pili ufipa hali ikoje kwa sasa?
Lissu hutoa maneno pasipo kueleweka vizuri kwa wapinzani wake kwa wakati huo, lakini kwa baadae mwisho huwa wanamuelewa vizuri sana, alianza kuwaambia ni namna gani taifa linaibiwa kupitia mikataba miaka ya 1998+ wakamnanga sana kwa maneno ya kejeli hadi wakamtia ndani miezi 3 akipinga dhuluma dhidi ya wananchi wa nchi hii waliokuwa wananyonywa kupitia mikataba mibovu iliyoingiwa na serikali, mwaka jana/juzi tena aliwaambia ukweli juu ya huyu mtu wao kuwa anapambana na wapinzani, lakini akimalizana na wapinzani atawashughulikia wao, leo hii yametimiaUle utabiri wa Tundu Lissu waanza kutimia......
Alitamka maneno yafuatayo miaka michache ya nyuma " Ameanza kushughulikia upinzani, akimaliza huku atakuja kwenu CCM " mwisho wa kunukuu
Kutokana na hotuba aliyotoa Rais Magufuli Jana Ikulu, ni nani atakuwa na ubavu wa kupinga kuwa utabiri wa Mwanasiasa nguli ya nchi hii, Tundu Lissu haujaanza kutimia?
Tulishamtahadharisha kwamba Shetani hana rafiki akatupuuzaMsemajiUkweli uko wapi aisee...?
ikiwa ni pamoja na kumuiba Pedeshee Dr ShikaLugumi alishasulubiwa kwa kunyang'anywa mali zake na kupigwa mnada. Hukumu na adhabu aliyokwisha pata Lugumi inatosha... Kama mtanzania mkosaji ameshaadhibiwa. Utoaji wa haki unakataza kutoa adhabu mara mbili kwa kosa moja...
Tulishamtahadharisha kwamba Shetani hana rafiki akatupuuza
aisee... Hadi mwera wanataka selfie..!!Huyu mtu amebarikiwa kipajiView attachment 801649
daah.. Mungu jalia!Lissu kaponaView attachment 801651
Kapona vipi, sasa mbona ana hayo magongo? Eti huyo ndio kamanda wa ufipa. Duh utapata tabu sana.Lissu kaponaView attachment 801651
Kwa kauli kama hii naungana na wahenga kuwa, kweli uchawi si lazima ushike matunguri!Kapona vipi, sasa mbona ana hayo magongo? Eti huyo ndio kamanda wa ufipa. Duh utapata tabu sana.
Nabii Tundu Lisu, a super intelligent man!. Ugua pole Lisu, Mungu anakusimamia, tunakuombea (walitukataza tusikuombee), lakini tunakuombea na Mungu anasikia sala zetu. Nimeona mazoezi yako yanaleta matumaini ya kutembea hata kwa magongo..Ule utabiri wa Tundu Lissu waanza kutimia......
Alitamka maneno yafuatayo miaka michache ya nyuma " Ameanza kushughulikia upinzani, akimaliza huku atakuja kwenu CCM " mwisho wa kunukuu
Kutokana na hotuba aliyotoa Rais Magufuli Jana Ikulu, ni nani atakuwa na ubavu wa kupinga kuwa utabiri wa Mwanasiasa nguli ya nchi hii, Tundu Lissu haujaanza kutimia?
bila Shaka miaka 50 ijayo utakuwa na umri wa miaka 30 tu!Ccm ipo imara kukamata dola 50 years to come... Pole
Uchawi gani sasa, kwani nimeongea uongo. Picha huioni hiyo hapo?Kwa kauli kama hii naungana na wahenga kuwa, kweli uchawi si lazima ushike matunguri!
Mtapata nyinyi mlioshindwa nia ovu juu yakeKapona vipi, sasa mbona ana hayo magongo? Eti huyo ndio kamanda wa ufipa. Duh utapata tabu sana.
Mchawi mkubwaUchawi gani sasa, kwani nimeongea uongo. Picha huioni hiyo hapo?
Atapata tabu sana.Mtapata nyinyi mlioshindwa nia ovu juu yake
Nafsi zenu zinawasutaAtapata tabu sana.