Mbona ghafla CCM imeingiwa ganzi?

Mbona ghafla CCM imeingiwa ganzi?

Ule utabiri wa Tundu Lissu waanza kutimia......

Alitamka maneno yafuatayo miaka michache ya nyuma " Ameanza kushughulikia upinzani, akimaliza huku atakuja kwenu CCM " mwisho wa kunukuu

Kutokana na hotuba aliyotoa Rais Magufuli Jana Ikulu, ni nani atakuwa na ubavu wa kupinga kuwa utabiri wa Mwanasiasa nguli wa nchi hii, Tundu Lissu haujaanza kutimia?
Anashughulikia waovu ama wawe ndani ya CCM,nje ya CCM na wasio na vyama
 
Anashughulikia waovu ama wawe ndani ya CCM,nje ya CCM na wasio na vyama
Kuna uovu kama kudanganya jina kwa vyeti vya mwenzako? maana kama DAB angechukua cheti cha daktari si ndio hao wana pasua kichwa badala ya goti? mbona yeye anamwambia chapa kazi mwanangu!
 
Kuna uovu kama kudanganya jina kwa vyeti vya mwenzako? maana kama DAB angechukua cheti cha daktari si ndio hao wana pasua kichwa badala ya goti? mbona yeye anamwambia chapa kazi mwanangu!
Hayo ni majungu ya Chadema tu,mwenye jina hilo si ajitokeze...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom