Mbona ghafla CCM imeingiwa ganzi?

Mbona ghafla CCM imeingiwa ganzi?

Nasikia kuanzia wiki ijayo nyie lumumba fc posho yenu inapunguzwa toka 7000 kwa siku hadi 3000
Utaacha baadhi humu waangue kilio bure! Kwa hizo 7 wamegongewa sana huko majumbani na wauza genge itakuwa tatu?
Hizo watagongwa na wenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom