Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Sawa.Mchawi mkubwa
Sawa.Mchawi mkubwa
NdiyoSawa.
Hamna cha kusuta wala nini.Nafsi zenu zinawasuta
Ni kawaida ya mchawi kutoona aibuHamna cha kusuta wala nini.
IcuVipi huko mtaa wa pili ufipa hali ikoje kwa sasa?
TrueHamna cha kusuta wala nini.
Watapata taabu sanaLissu hutoa maneno pasipo kueleweka vizuri kwa wapinzani wake kwa wakati huo, lakini kwa baadae mwisho huwa wanamuelewa vizuri sana, alianza kuwaambia ni namna gani taifa linaibiwa kupitia mikataba miaka ya 1998+ wakamnanga sana kwa maneno ya kejeli hadi wakamtia ndani miezi 3 akipinga dhuluma dhidi ya wananchi wa nchi hii waliokuwa wananyonywa kupitia mikataba mibovu iliyoingiwa na serikali, mwaka jana/juzi tena aliwaambia ukweli juu ya huyu mtu wao kuwa anapambana na wapinzani, lakini akimalizana na wapinzani atawashughulikia wao, leo hii yametimia
Mtapata taabu sana. Rifanye kazi yetu tu mambo magumuUle utabiri wa Tundu Lissu waanza kutimia......
Alitamka maneno yafuatayo miaka michache ya nyuma " Ameanza kushughulikia upinzani, akimaliza huku atakuja kwenu CCM " mwisho wa kunukuu
Kutokana na hotuba aliyotoa Rais Magufuli Jana Ikulu, ni nani atakuwa na ubavu wa kupinga kuwa utabiri wa Mwanasiasa nguli ya nchi hii, Tundu Lissu haujaanza kutimia?
Siku akirudi nitaenda kumpokea uwanja wa ndege hata kama mungumtu achafue vipi hali ya hewaHuyu mtu amebarikiwa kipajiView attachment 801649
Hiyo tutakuwa wengiSiku akirudi nitaenda kumpokea uwanja wa ndege hata kama mungumtu achafue vipi hali ya hewa
Hivi Lisu amelikosea nini taifa la Tanzania mpaka wengine kumwombea kifo?Kwa kauli kama hii naungana na wahenga kuwa, kweli uchawi si lazima ushike matunguri!
Bado kuna wengine 27 wako kwenye list. Mavi yanagonga chupi.Ule utabiri wa Tundu Lissu waanza kutimia......
Alitamka maneno yafuatayo miaka michache ya nyuma " Ameanza kushughulikia upinzani, akimaliza huku atakuja kwenu CCM " mwisho wa kunukuu
Kutokana na hotuba aliyotoa Rais Magufuli Jana Ikulu, ni nani atakuwa na ubavu wa kupinga kuwa utabiri wa Mwanasiasa nguli ya nchi hii, Tundu Lissu haujaanza kutimia?
The lips of righteousness teaches many, but fools die for want of wisdom.Huyu mtu amebarikiwa kipajiView attachment 801649
Nchi nzima sasa imetamvua wazi pa si na shaka nani hao WASIOJULIKANA.Kitendo cha kumgalagaza Mwigulu na matisho ya Mwenyekiti wao kwa Wabunge na hatua anazotaka zichukuliwe kwa walo fanya ufisadi wa Lugumi, magari ya Polisi, NIDA nk nk mbona imeleta taharuki sio mitandaoni tuu hata mitaani kwa wapiga debe wa CCM kutulia kama wana malaria?
Pia kitendo cha kada wao Zakaria kuwatwanga risasi wasiojulikana kisha wakajulikana na kuleta taharuki kati ya uongozi wa CCM mkoa wa Mara na Tarime huku wakibishana na viongozi wa serikali kimeonyesha kufanya utetezi maandazi kwisha nguvu?
Au ndio zile njozi za kuwa chinja chinja wa hili dubwasha atatokea ndani mwao ili wa nje wasipate dhambi ya kuua chama hiki kilichokuwa cha ukombozi?
Dola ya Zimbabwe labdaCcm ipo imara kukamata dola 50 years to come... Pole