J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,552
- 1,520
Leo nilikuwa nimehudhuria harusi flan hapa kabisa LA Rc Book naona bado wapiga Picha wanatumia drones hata baada ya kuzuiliwa na serikali. Mimi ni kati ya watanzania wanaopinga sana hivi vidude kwa sababu za kiusalama. Ni kwamba Serikali imeshindwa kuzuia au watumiaji waneizidi janja serikali!? Nashauri wanaokamatwa na hivi vidude waadhibiwe vikali na mahakama za kijeshi maana wanahatarisha usalama Wa nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app