Mbona Bunge limevurugika?

Si siri tena ,sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.

Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana,, halipo kiufundi lenye kujielewa,yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni ,yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.

Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
Spika mwenyewe ni mtu wa mipasho mipasho, unategemea kupata kitu genuine humo!! Juzi tu mwendazake kaondoka Spika huyo huyo kapiga U-turn kuhusu Bandari ya Bagamoyo - unafiki ni fani ndugu.
 
Kwa tusio angalia unaweza ukatupa vivid examples ?
mfano rahisi ni ule wa wale madada wawili juu ya kumtukuza raisi Magufuli hadi kupitiliza mmoja akipinga mwengine akiunda mkono,kama unavyowajuwa wadada hawakawii kupania nguo,na walishaanza mimi wewe mkubwa wangu na yule mwengine wewe kama mama yangu,spika linachekelea tu,yaani ni aibu kuu.
yaani maneno ya vibarazani kwenye vikao vya kahawa.
 
Si siri tena ,sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.

Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana,, halipo kiufundi lenye kujielewa,yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni ,yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.

Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
Sisi kama watu wa nchi ni waajabu kwa lipi,...?
Pengine labda imani yako inakutuma kwamba hao wabunge walichaguliwa na wananchi, ulikuwa kwenye dunia ipi ambayo ilikufanya usijue lolote lililokuwa likiendelea ktk uchaguzi...? Hao viongozi tulipigwa, hawakuwa chaguo letu wananchi ila n chaguo la CCm
 
mfano rahisi ni ule wa wale madada wawili juu ya kumtukuza raisi Magufuli hadi kupitiliza mmoja akipinga mwengine akiunda mkono,kama unavyowajuwa wadada hawakawii kupania nguo,na walishaanza mimi wewe mkubwa wangu na yule mwengine wewe kama mama yangu,spika linachekelea tu,yaani ni aibu kuu.
yaani maneno ya vibarazani kwenye vikao vya kahawa.
Duh kwahio kuna mtu alikuwa bado anamtukuza Mwendazake (mi nilidhani hawa wachumia tumbo utukufu utakuwa umeelekezwa pengine) au wanaugawa kwa wote ? Anyway mimi hawa wanasiasa ni mwaka takribani wa kumi sasa nilishaacha kuwafuatilia
 
Nileteeni Gwajimaa! Inhiiiiiiiii,msipomchagua tusilaumiane.
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si muuondoe maana sasa mambo ni poa! Kama ulaya
Hatutaki kuwa kama Ulaya. Magufuli kila sikua alikuwa anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya lakini kaacha maumivu kila mahali. Sisi tunataka tuwe kama Tanzania. Huo uchafu utatoka tu. Hiyo isikupe Wasiwasi.
 
Si siri tena ,sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.

Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana,, halipo kiufundi lenye kujielewa,yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni ,yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.

Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
Hilo siyo Bunge ,ni kikao cha Mataga.
 
Back
Top Bottom