SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,973
- 75,047
Wamfuate huko alikokwenda"Atake asitake alazimishweeeeeee "

Ingependeza zaidiKuta zibomoke sasa zianguke au hamna expansion joints huko

watu wazima ovyo, badala ya kujadili maendeleo sasa wanatupiana mpira.Kwani kimetokea nini huko?
Kilichowaunganisha wabunge wa CCM ni vyama vya upinzani.Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.
Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana, halipo kiufundi lenye kujielewa, yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni, yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.
Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
ni studio ya bongo flevaSi siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.
Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana, halipo kiufundi lenye kujielewa, yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni, yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.
Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
Mimi natamani yauane kabisa haya mafisiemKilichowaunganisha wabunge wa CCM ni vyama vya upinzani.
Upinzani haupo sasa, nao hawana lao!
Mataga mmekuwa wepesi sana kusahau,wakati mnashangalia ushindi wa kishindo wa Wabunge wote Nchi nzima mlikuwa mnategemea nini?Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.
Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana, halipo kiufundi lenye kujielewa, yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni, yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.
Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
Mleta mada ni Mataga Masalia mwenzakoJamani BAVICHA kwani si matatizo yote kaondoka nayo Magu? Na sasa mambo yako poa na mmejishajitoa utumwani.?
Babu Tale yupo pamoja KeishaHawa vilaza waliwekwa pale na jiwe. Hivi ni mbunge nani pale anauwezo wa kuchambua ripoti ya CAG
Mwendazake alikuwa ni nouma, yaani kashalala lakini watu kitete hakijawaisha - washaanza kunena kwa lugha !!huenda mwenda zake amewatokea wameanza kunena vya kweli
Bunge kulikosa radha mapema sanaSi siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.
Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana, halipo kiufundi lenye kujielewa, yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni, yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.
Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
Kwani Baba Askofu alisemaje kuhusu Bunge letu pale msibani chato?Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.
Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana, halipo kiufundi lenye kujielewa, yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni, yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja.
Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.
NEVER AND NEVER AGAIN...!Hili ndio bunge hovyo kupita yote tangu uhuru na sidhani kama litakuja kutokea lingine kama hili
Dhambi ya asili (uchafuzi) inawatesa.Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.