Mbona bidhaa za discount kubwa zina warrant ndogo?

Nafikiri Zaidi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
429
472
Hivi hawa jamaa wako serious na Product zao maana Ofcoz product zao ni Affordable ila Garantii ni Muda Mchache Hali inayopelekea kua na mashaka na product zao....Wenye uzoefu na product zao tujuzane jaman ...Ili Ijulikane
 
sasa mkuu kifaa kimetumika ulaya miaka nenda miaka rudi kinakuja Tanzania kama mtumba halafu unategemea upewe warranty?

ninavyojua kitu used hakina warranty kabisa, wale wakisema miezi mitatu au 6 wanakupa warranty ni bonus tu kwako.
 
Aaaaah sawa sawa mkuu
 
Back
Top Bottom