Mboga za makaburini

Unapo kaa ndio kwako , unapokaa ukipatumia vizuri panakuokolea pesa nyingi sana , ukingia youtube unajifunza njia nyingi sana za kurahisisha maisha kwa kujifunza njia za kuzalisha mboga , samaki na nk kwenye eneo dogo.
Tulipanga pahala for 2 years hatukujua kununua mboga mboga,nyanya,vitunguu..mwendo wa kubadili tu😀😀😀
 
Dahh umejiwahi sana kakaake, wakati nataka kukuomba mbegu nipande kwangu nione itakuwaje baada ya miezi kadhaa🫠
 
Tulipanga pahala for 2 years hatukujua kununua mboga mboga,nyanya,vitunguu..mwendo wa kubadili tu😀😀😀
Safi sana mkuu, niliwapa elimu ya ufugaji na kilimo vijana wakadai ni kazi za wastaafu kwangu hata majiko ya gesi natumia mbolea ya mboji , matumizi ya umeme yanakua madogo mno
 
Sasa binadamu ameoza, samadi ya binadamu ikioza ina kemikali gani? [emoji4]
Hapa hatuongelei biolojia ya asili ya kuoza, tunazungumzia sumu za kitabibu (chemicals) na metali kutoka kwenye maziko zinazoingia kwenye udongo. Kama unataka kufananisha maiti za watu na samadi ya ng'ombe ili mradi tu ule, shauli yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…