Duhh mbona kibarua! Nianze kufocus tena na kilimo mara hii tu🤔Unapo kaa ndio kwako , unapokaa ukipatumia vizuri panakuokolea pesa nyingi sana , ukingia youtube unajifunza njia nyingi sana za kurahisisha maisha kwa kujifunza njia za kuzalisha mboga , samaki na nk kwenye eneo dogo.
Ndio ajue kuna mashamba ya mbogamboga pia! Akitembea ataona mengi..
Utakula nini?Unazingua ujue🙄
Sili tena mbogamboga😰
Mkuu Chivundu, hiyo sayansi yako imefeli! Mboga za majani kama matembele zina tabia inayojulikana kisayansi kama hyperaccumulation yaani zinafyonza metali nzito (heavy metals) na kemikali zote za udongoni kirahisi sana, sio nutrients pekee.Mmea unafyonza nutrients, haufyonzi kitu kingine, ni fikra zenu tuu. [emoji4]
Kuleni mboga acheni uchunguzi. [emoji4]
Ni samadi ya nani😨Akiona carrot 🥕 kubwa, imekomaa vizuri, kubwa mpaka ina magamba meupe, anafikiri watu wanazipanda kwa samadi ya kuku. 😊
Maharage!Utakula nini?
Mkuu Chivundu, hiyo sayansi yako imefeli! Mboga za majani kama matembele zina tabia inayojulikana kisayansi kama hyperaccumulation yaani zinafyonza metali nzito (heavy metals) na kemikali zote za udongoni kirahisi sana, sio nutrients pekee.
Kama unataka kula kemikali za mochwari (formalin) na mabaki ya rangi za majeneza kwa kigezo cha uchunguzi wewe kula tu
Hizi ni njia za kurahisha maisha tu , usipolima bustani kila kitu utakinunua kwa pesa kama hauna bustani ndogo , ebu fikiria nachuma mboga kwangu ila wewe unatoa 500 kununua fungu la mboga 🤔 , hiyo mia tano ya mboga mimi naitupia kwenye kibubuDuhh mbona kibarua! Nianze kufocus tena na kilimo mara hii tu🤔
Dahh halafu tukiwa wajawazito tunashauriwa kula sana matembele tuongeze damu🙁Mkuu Chivundu, hiyo sayansi yako imefeli! Mboga za majani kama matembele zina tabia inayojulikana kisayansi kama hyperaccumulation yaani zinafyonza metali nzito (heavy metals) na kemikali zote za udongoni kirahisi sana, sio nutrients pekee.
Kama unataka kula kemikali za mochwari (formalin) na mabaki ya rangi za majeneza kwa kigezo cha uchunguzi wewe kula tu
Wiki tu utageuka mfungwaMaharage!
Itapata kutu!Hizi ni njia za kurahisha maisha tu , usipolima bustani kila kitu utakinunua kwa pesa kama hauna bustani ndogo , ebu fikiria nachuma mboga kwangu ila wewe unatoa 500 kununua fungu la mboga 🤔 , hiyo mia tano ya mboga mimi naitupia kwenye kibubu
za kununua tam eeh !Kwasabau siwezi tu😳
Ni samadi ya nani😨
Nishazoea mbona! Naya roast vzr hayasimami kama karanga!Wiki tu utageuka mfungwa
Nilipewa mbegu za mboga ya majani na babu fulani nikapnda kwangu kwenye fence ,sasa kila zinavyokuwa naona kabisa hii ni bangi ,nikamfuata mzee kumuuliza hizi mboga ulinipa ni mboga gani akasema ni SUNGWI mh .Duhh mbona kibarua! Nianze kufocus tena na kilimo mara hii tu🤔
Si ndioo!za kununua tam eeh !
wakishua 🤣🤣🤣 ila usimwambie mtu plzzkwa sababu gani ww?