Mbio za sakafuni za Saed Kubenea kufika ukingoni mapema?

"Atapasiwa" kifungo cha miezi 6. Kutochaguliwa ikiwa mtu alifungwa kwa kipindi kinachozidi miezi 6. Mtoa post hebu rudia tena kusoma hivyo vifungu km kweli kipo chenye sifa ya kumuondolea ubunge. Km atafungwa,atafungwa miezi 6. Lkn ili asiwe mbunge inabidi afungwe zaidi ya miezi 6. Km umekosea sahihisha ni hayo tu.
 
Mmejipanga kushambulia kama nyuki.naona baada ya single za Lowassa kukosa solo sasa mmerudi kwa SK tena.
Ingekuwa kuanzisha thread hapa JF lazima ulipie hakika JF ingekuwa na fedha nyingi nanyi mngefilisika kwa hivyo visenti vyenu
Hoja yako hapa ni nini?
 
Hii nchi ina vituko kweli Kubenea nae ni mbunge daah!!!.

Umeulizwa juu ya maji mafupi, nauliza juu ya people. Kama ni uangalifu ktk siasa, leo hii tusingekuwa na viongozi duni kiasi hiki ndani ya CCM. miaka 39 ya CCM. Miaka 62 ya TANU.
 
"kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa"...
Hapa Kubenea (kama kweli alisema) atakua amekosea hapo tu kwenye kibaka lakini mengine yote ni sawa kabisaaa.
Mbaya zaidi kuna mashahidi ambao walikuwepo wakati anatamka maneno hayo!
 
Naona mtoa mada ume quote vifungu vya sheria mimi sio mwanasheria na sijaenda kuvipitia, sasa kama ni hivyo kweli kama ulivyo viweka hapo SHERIA IMESEMA KIFUNGO KISICHOZIDI MIEZI SITA na sheria ya uchaguzi imesema KIFUNGO KINACHOZIDI MIEZI SITA kwa hiyo hata kama atashindwa kesi akafungwa MAXIMUM SENTENCE 6 MONTHS ataenda atarudi bado atakua mbunge wako
 
Unataka na ww uteuli kuwa nani Na makondaaaa pole hakuna MTU muhim kwa waelewa wote kama kubeanea hujajua ama umepewa buku saba kwisha
 
Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.

Wataalam wa mambo ya kisiasa wanatuambia demokrasia ni gharama hata hivyo gharama za demokrasia ambazo hazina mpango(justification) ni kama wizi wa mali ya umma. Matokeo ya matendo ya Saed Kubenea yako mbioni kuakisi wizi wa mali za umma(unjustifiable expenditure).

Ikumbukwe kuwa, Mbunge huyu wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kwa tiketi ya CHADEMA kwa sasa ana kesi mahakamani ambayo matokeo yake yanaweza kutengua kikatiba Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo.

Saed Kubenea anadaiwa mahakamani kama ilivyonukuliwa na Gazeti la Majira kutenda kosa Desemba 14, 2015, katika Kiwanda cha Nguo cha Took Garment Com Ltd, kilichopo Mabibo External kwa kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya, Makonda akisema ni kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa hali ambayo iliashiria uvunjifu wa amani na utulivu.

Katika macho ya kanuni za adhabu nchini, kosa la Kubenea linakaribisha kifungo gerezani cha kuanzia miezi sitta.

Katika sheria ya Kanuni za adhabu Sura ya Sita, kifungu cha 89(1)(a-b) kinasema;
89(1) Mtu ye yote ambaye:-
(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani; au
(b) atazozana au kwa namna nyingine yeyote ataleta fujo kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani. Mtu huyo amekosa kosa dogo na atakapoonekana na hatia atapasiwa kifungo cha miezi sita.

Katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye kifungu cha 67(2)(c) inasema;
67(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu.

Wananchi wa Ubungo kuingia kwenye Uchaguzi mwingine ambao sababu zake zingeweza kuzuilika kiutaratibu na kisheria liwe funzo kwa taifa!

Ni vizuri Mamlaka zinazowasimamia wawakilishi ambazo ni Tume ya Uchaguzi, Bunge na vyama vya siasa ziangalie utaratibu wa kuanzisha semina elekezi mapema iwezekanavyo baada ya uchaguzi ili wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea waweze kupata darasa litakalo wawezesha kuelewa umuhimu wao katika taifa.

Wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea lazima waelewe neno MHESHIMIWA kama kianzishi cha Jina kwa wabunge halikuwekwa kama pambio bali limewekwa kuonyesha umuhimu wa Mbunge katika jamii na taifa.

Huyu MHESHIMIWA tokea atangazwe kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, he keeps hitting the headlines for all the wrong reasons. Hawezi hata kujifunza kutoka kwa wabunge wa aina ya John Mnyika ambao wamefanikiwa katika ubunge siyo kwa sababu ya wrong reasons and character bali kwa sababu ya kuibua hoja za kitaifa na kuzisimamia kwa nguvu za hoja. Mnyika has always been exceptionally good at his job, he never puts a foot wrong.

Wananchi wanaingia gharama kubwa kumpata Mbunge lakini vile vile inatakiwa watu wa aina ya Saed Kubenea wawekewe chujio imara ili wasiweze kupenya na kuwa wabunge kwa sababu matendo yao hayaakisi/hayaendani na gharama za kumpata Mbunge kutoka kwa wananchi ambao ni walipa gharama za uchaguzi.

Waingereza wanasema, justice is blind, hii ina maana kuwa sheria hazina siasa na kwa maana hiyo, ni vizuri wananchi wa Jimbo la Ubungo wakaanza kujiandaa mapema kuingia kwenye Uchaguzi mwingine wa kupata Mbunge Mpya.
Hapo sasa ndio umesema nini? Kubenea tayari ni mbunge hiyo katiba au sheria sijui imesema kama aliyekuwa mbunge tayari ubunge qake unatenguliwa?
 
Hii nchi ina vituko kweli Kubenea nae ni mbunge daah!!!.

Kama kikwete amefanikiwa kuwa rais wa miaka10 basi ni ajabu la 8 is dunia mana nionavyo kikwete hakufaa hata kuwa houseboy
 
Chunga sana hizo kauli zako ukitakiwa kuhojiwa jiandae tu na uwape taarifa nyumbani mapema.
 
Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.

Wataalam wa mambo ya kisiasa wanatuambia demokrasia ni gharama hata hivyo gharama za demokrasia ambazo hazina mpango(justification) ni kama wizi wa mali ya umma. Matokeo ya matendo ya Saed Kubenea yako mbioni kuakisi wizi wa mali za umma(unjustifiable expenditure).

Ikumbukwe kuwa, Mbunge huyu wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kwa tiketi ya CHADEMA kwa sasa ana kesi mahakamani ambayo matokeo yake yanaweza kutengua kikatiba Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo.

Saed Kubenea anadaiwa mahakamani kama ilivyonukuliwa na Gazeti la Majira kutenda kosa Desemba 14, 2015, katika Kiwanda cha Nguo cha Took Garment Com Ltd, kilichopo Mabibo External kwa kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya, Makonda akisema ni kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa hali ambayo iliashiria uvunjifu wa amani na utulivu.

Katika macho ya kanuni za adhabu nchini, kosa la Kubenea linakaribisha kifungo gerezani cha kuanzia miezi sitta.

Katika sheria ya Kanuni za adhabu Sura ya Sita, kifungu cha 89(1)(a-b) kinasema;
89(1) Mtu ye yote ambaye:-
(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani; au
(b) atazozana au kwa namna nyingine yeyote ataleta fujo kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani. Mtu huyo amekosa kosa dogo na atakapoonekana na hatia atapasiwa kifungo cha miezi sita.

Katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye kifungu cha 67(2)(c) inasema;
67(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu.

Wananchi wa Ubungo kuingia kwenye Uchaguzi mwingine ambao sababu zake zingeweza kuzuilika kiutaratibu na kisheria liwe funzo kwa taifa!

Ni vizuri Mamlaka zinazowasimamia wawakilishi ambazo ni Tume ya Uchaguzi, Bunge na vyama vya siasa ziangalie utaratibu wa kuanzisha semina elekezi mapema iwezekanavyo baada ya uchaguzi ili wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea waweze kupata darasa litakalo wawezesha kuelewa umuhimu wao katika taifa.

Wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea lazima waelewe neno MHESHIMIWA kama kianzishi cha Jina kwa wabunge halikuwekwa kama pambio bali limewekwa kuonyesha umuhimu wa Mbunge katika jamii na taifa.

Huyu MHESHIMIWA tokea atangazwe kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, he keeps hitting the headlines for all the wrong reasons. Hawezi hata kujifunza kutoka kwa wabunge wa aina ya John Mnyika ambao wamefanikiwa katika ubunge siyo kwa sababu ya wrong reasons and character bali kwa sababu ya kuibua hoja za kitaifa na kuzisimamia kwa nguvu za hoja. Mnyika has always been exceptionally good at his job, he never puts a foot wrong.

Wananchi wanaingia gharama kubwa kumpata Mbunge lakini vile vile inatakiwa watu wa aina ya Saed Kubenea wawekewe chujio imara ili wasiweze kupenya na kuwa wabunge kwa sababu matendo yao hayaakisi/hayaendani na gharama za kumpata Mbunge kutoka kwa wananchi ambao ni walipa gharama za uchaguzi.

Waingereza wanasema, justice is blind, hii ina maana kuwa sheria hazina siasa na kwa maana hiyo, ni vizuri wananchi wa Jimbo la Ubungo wakaanza kujiandaa mapema kuingia kwenye Uchaguzi mwingine wa kupata Mbunge Mpya.
Umejileta vizuri we maamuma sinaskiaga ulisoma masters ya mambo ya sheria kule ujeruman
Kwa uchambuzi huu wa kisheria umeidhalilisha kigoma mkoa wa ndugu zangu
Penal code inasema adhabu ni miezi sita (isiyozidi)

Na ukajilet vizuri kwa kuiquote katiba kuwa mtu atapoteza sif ya kuwa mbunge iwapo......amehukumiwa kifungo kinachozidi miez sita

Atapoteza kwa lipi rudi shule sheria si propaganda watu na taaluma zetu tunakuchora tu
 
Hivi ni kweli unaweza kumlinanganisha Kubenea na vilaza wengi wa CCM waliopitishwa kuwa wabunge safari hii? Only fools can believe support your foolishness!
Hao wabunge wa CCM unaowaita vilaza CV zao zipo mitandaoni,hemu tuwekee CV ya Saed Kubenea tuone elimu yake
 
Kwani ukilaza ni elimu uliyonayo au uwezo wa kufikiria regardless ya elimu uliyonayo?
 
Hivi ni kweli unaweza kumlinanganisha Kubenea na vilaza wengi wa CCM waliopitishwa kuwa wabunge safari hii? Only fools can believe support your foolishness!
Mh, nawe umejiridhisha na "post" yako hiyo! Yupi mbunge wa kuaminika huyo mwongo/mchonganishi/mfitini, sifa alizo nazo Kubenea! Wana Ubungo mmeingizwa mjini kwani ahadi za Mbunge wenu zimejaa laghai lukuki. Kimbelembele tu kitamweka pabaya.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
nilijua kubenea atawahenyesha tu mpaka mtapike nyongo kwani konda hakupewa cheo kwa kuwabeba watoto wa mkulu juu na kuwafuta viatu?
Umeelewa ulichokiandika?

Kama umeelewa ulichokiandika, basi utakuwa una tatizo kubwa kifikra!
 
Back
Top Bottom