Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Teeee kuichagua ccm inabidi uwe kichaaKwa kweli unatakiwa uwe na akili za ajabu kumchagua Kubenea

Ntakuwa natumia kimawia.......una nasaba na kubenea maana akili zenu zote ni za hapa na pale.....Wewe nishakwambia kuwa unavyo jibu post zangu tumia kiha
Mkuu samahani lakini. Hivi yule mbunge aliyekula ya walipa kodi kama mil 10 hivi, karudi bungeni au? Au ile kisheria imekaaje na waliomchagua hawakubebwa milembe kweli na yale mafuso ya kipindi cha uchaguzi?Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanatuambia demokrasia ni gharama hata hivyo gharama za demokrasia ambazo hazina mpango(justification) ni kama wizi wa mali ya umma. Matokeo ya matendo ya Saed Kubenea yako mbioni kuakisi wizi wa mali za umma(unjustifiable expenditure).
Ikumbukwe kuwa, Mbunge huyu wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kwa tiketi ya CHADEMA kwa sasa ana kesi mahakamani ambayo matokeo yake yanaweza kutengua kikatiba Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea anadaiwa mahakamani kama ilivyonukuliwa na Gazeti la Majira kutenda kosa Desemba 14, 2015, katika Kiwanda cha Nguo cha Took Garment Com Ltd, kilichopo Mabibo External kwa kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya, Makonda akisema ni kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa hali ambayo iliashiria uvunjifu wa amani na utulivu.
Katika macho ya kanuni za adhabu nchini, kosa la Kubenea linakaribisha kifungo gerezani cha kuanzia miezi sitta.
Katika sheria ya Kanuni za adhabu Sura ya Sita, kifungu cha 89(1)(a-b) kinasema;
89(1) Mtu ye yote ambaye:-
(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani; au
(b) atazozana au kwa namna nyingine yeyote ataleta fujo kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani. Mtu huyo amekosa kosa dogo na atakapoonekana na hatia atapasiwa kifungo cha miezi sita.
Katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye kifungu cha 67(2)(c) inasema;
67(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu.
Wananchi wa Ubungo kuingia kwenye Uchaguzi mwingine ambao sababu zake zingeweza kuzuilika kiutaratibu na kisheria liwe funzo kwa taifa!
Ni vizuri Mamlaka zinazowasimamia wawakilishi ambazo ni Tume ya Uchaguzi, Bunge na vyama vya siasa ziangalie utaratibu wa kuanzisha semina elekezi mapema iwezekanavyo baada ya uchaguzi ili wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea waweze kupata darasa litakalo wawezesha kuelewa umuhimu wao katika taifa.
Wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea lazima waelewe neno MHESHIMIWA kama kianzishi cha Jina kwa wabunge halikuwekwa kama pambio bali limewekwa kuonyesha umuhimu wa Mbunge katika jamii na taifa.
Huyu MHESHIMIWA tokea atangazwe kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, he keeps hitting the headlines for all the wrong reasons. Hawezi hata kujifunza kutoka kwa wabunge wa aina ya John Mnyika ambao wamefanikiwa katika ubunge siyo kwa sababu ya wrong reasons and character bali kwa sababu ya kuibua hoja za kitaifa na kuzisimamia kwa nguvu za hoja. Mnyika has always been exceptionally good at his job, he never puts a foot wrong.
Wananchi wanaingia gharama kubwa kumpata Mbunge lakini vile vile inatakiwa watu wa aina ya Saed Kubenea wawekewe chujio imara ili wasiweze kupenya na kuwa wabunge kwa sababu matendo yao hayaakisi/hayaendani na gharama za kumpata Mbunge kutoka kwa wananchi ambao ni walipa gharama za uchaguzi.
Waingereza wanasema, justice is blind, hii ina maana kuwa sheria hazina siasa na kwa maana hiyo, ni vizuri wananchi wa Jimbo la Ubungo wakaanza kujiandaa mapema kuingia kwenye Uchaguzi mwingine wa kupata Mbunge Mpya.
ImekuingiaPunguza povu basi......zezeta la lowasa
Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.

Ujanja ujanja na usanii katika miji au Jiji ni mtaji.Hii nchi ina vituko kweli Kubenea nae ni mbunge daah!!!.
wacha wajifurahishe....kubenea nchi hii kafanya makubwa kuzid hata hao wanaojifanya wasomiHivi ni kweli unaweza kumlinanganisha Kubenea na vilaza wengi wa CCM waliopitishwa kuwa wabunge safari hii? Only fools can believe support your foolishness!
Hakuna anayemuandama.mbona mnamuandama kubeneaa hivyo??
anyway yatapita hayaa
Soma vizuri ili uelewe vizuri mada yangu!Mnahangaika na Kubenea, siamini kuwa wana Ubungo wanaweza kuwaelewa kwa uzushi wa kijinga kama huu. Kubalini kuwa alishawashinda na msubiri uchaguzi ujao
Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanatuambia demokrasia ni gharama hata hivyo gharama za demokrasia ambazo hazina mpango(justification) ni kama wizi wa mali ya umma. Matokeo ya matendo ya Saed Kubenea yako mbioni kuakisi wizi wa mali za umma(unjustifiable expenditure).
Ikumbukwe kuwa, Mbunge huyu wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kwa tiketi ya CHADEMA kwa sasa ana kesi mahakamani ambayo matokeo yake yanaweza kutengua kikatiba Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea anadaiwa mahakamani kama ilivyonukuliwa na Gazeti la Majira kutenda kosa Desemba 14, 2015, katika Kiwanda cha Nguo cha Took Garment Com Ltd, kilichopo Mabibo External kwa kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya, Makonda akisema ni kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa hali ambayo iliashiria uvunjifu wa amani na utulivu.
Katika macho ya kanuni za adhabu nchini, kosa la Kubenea linakaribisha kifungo gerezani cha kuanzia miezi sitta.
Katika sheria ya Kanuni za adhabu Sura ya Sita, kifungu cha 89(1)(a-b) kinasema;
89(1) Mtu ye yote ambaye:-
(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani; au
(b) atazozana au kwa namna nyingine yeyote ataleta fujo kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani. Mtu huyo amekosa kosa dogo na atakapoonekana na hatia atapasiwa kifungo cha miezi sita.
Katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye kifungu cha 67(2)(c) inasema;
67(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu.
Wananchi wa Ubungo kuingia kwenye Uchaguzi mwingine ambao sababu zake zingeweza kuzuilika kiutaratibu na kisheria liwe funzo kwa taifa!
Ni vizuri Mamlaka zinazowasimamia wawakilishi ambazo ni Tume ya Uchaguzi, Bunge na vyama vya siasa ziangalie utaratibu wa kuanzisha semina elekezi mapema iwezekanavyo baada ya uchaguzi ili wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea waweze kupata darasa litakalo wawezesha kuelewa umuhimu wao katika taifa.
Wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea lazima waelewe neno MHESHIMIWA kama kianzishi cha Jina kwa wabunge halikuwekwa kama pambio bali limewekwa kuonyesha umuhimu wa Mbunge katika jamii na taifa.
Huyu MHESHIMIWA tokea atangazwe kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, he keeps hitting the headlines for all the wrong reasons. Hawezi hata kujifunza kutoka kwa wabunge wa aina ya John Mnyika ambao wamefanikiwa katika ubunge siyo kwa sababu ya wrong reasons and character bali kwa sababu ya kuibua hoja za kitaifa na kuzisimamia kwa nguvu za hoja. Mnyika has always been exceptionally good at his job, he never puts a foot wrong.
Wananchi wanaingia gharama kubwa kumpata Mbunge lakini vile vile inatakiwa watu wa aina ya Saed Kubenea wawekewe chujio imara ili wasiweze kupenya na kuwa wabunge kwa sababu matendo yao hayaakisi/hayaendani na gharama za kumpata Mbunge kutoka kwa wananchi ambao ni walipa gharama za uchaguzi.
Waingereza wanasema, justice is blind, hii ina maana kuwa sheria hazina siasa na kwa maana hiyo, ni vizuri wananchi wa Jimbo la Ubungo wakaanza kujiandaa mapema kuingia kwenye Uchaguzi mwingine wa kupata Mbunge Mpya.
Ni bora kuwa na akili za hapa na pale maana zinalipa kuliko kuwa na akili za hapahapa tuu.Ntakuwa natumia kimawia.......una nasaba na kubenea maana akili zenu zote ni za hapa na pale.....
Tena kwa ni kwa vile wameshtuka tuu kutokuwa na Waziri asiye na wizara maalumu. Angekuwepo Kubenea angepewa Uwaziri kivuli asiyekuwa na wizara maalumu ili awachape huku na kule kama wanavyomuita msomi wa Hapa na pale ili washike adabu.Mtu akiwa hatarishi ndani ya serikali ya ccm ataandamwa kama mbwa mwitu
"Nimekuwa nikiibua kashifa kubwa bila uoga,sasa wana ubungo nipeni kibali niwe mbunge ili niibue makubwa zaidi bila uonga maana nitakuwa na kinga ya bunge" haya maneno ccm bado yanawapa wakati mgumu sana maana wasiempenda ndo kishatia maguu bungeni
Mwaka huu mnalo
Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanatuambia demokrasia ni gharama hata hivyo gharama za demokrasia ambazo hazina mpango(justification) ni kama wizi wa mali ya umma. Matokeo ya matendo ya Saed Kubenea yako mbioni kuakisi wizi wa mali za umma(unjustifiable expenditure).
Ikumbukwe kuwa, Mbunge huyu wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kwa tiketi ya CHADEMA kwa sasa ana kesi mahakamani ambayo matokeo yake yanaweza kutengua kikatiba Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea anadaiwa mahakamani kama ilivyonukuliwa na Gazeti la Majira kutenda kosa Desemba 14, 2015, katika Kiwanda cha Nguo cha Took Garment Com Ltd, kilichopo Mabibo External kwa kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya, Makonda akisema ni kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa hali ambayo iliashiria uvunjifu wa amani na utulivu.
Katika macho ya kanuni za adhabu nchini, kosa la Kubenea linakaribisha kifungo gerezani cha kuanzia miezi sitta.
Katika sheria ya Kanuni za adhabu Sura ya Sita, kifungu cha 89(1)(a-b) kinasema;
89(1) Mtu ye yote ambaye:-
(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani; au
(b) atazozana au kwa namna nyingine yeyote ataleta fujo kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani. Mtu huyo amekosa kosa dogo na atakapoonekana na hatia atapasiwa kifungo cha miezi sita.
Katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye kifungu cha 67(2)(c) inasema;
67(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu.
Wananchi wa Ubungo kuingia kwenye Uchaguzi mwingine ambao sababu zake zingeweza kuzuilika kiutaratibu na kisheria liwe funzo kwa taifa!
Ni vizuri Mamlaka zinazowasimamia wawakilishi ambazo ni Tume ya Uchaguzi, Bunge na vyama vya siasa ziangalie utaratibu wa kuanzisha semina elekezi mapema iwezekanavyo baada ya uchaguzi ili wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea waweze kupata darasa litakalo wawezesha kuelewa umuhimu wao katika taifa.
Wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea lazima waelewe neno MHESHIMIWA kama kianzishi cha Jina kwa wabunge halikuwekwa kama pambio bali limewekwa kuonyesha umuhimu wa Mbunge katika jamii na taifa.
Huyu MHESHIMIWA tokea atangazwe kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, he keeps hitting the headlines for all the wrong reasons. Hawezi hata kujifunza kutoka kwa wabunge wa aina ya John Mnyika ambao wamefanikiwa katika ubunge siyo kwa sababu ya wrong reasons and character bali kwa sababu ya kuibua hoja za kitaifa na kuzisimamia kwa nguvu za hoja. Mnyika has always been exceptionally good at his job, he never puts a foot wrong.
Wananchi wanaingia gharama kubwa kumpata Mbunge lakini vile vile inatakiwa watu wa aina ya Saed Kubenea wawekewe chujio imara ili wasiweze kupenya na kuwa wabunge kwa sababu matendo yao hayaakisi/hayaendani na gharama za kumpata Mbunge kutoka kwa wananchi ambao ni walipa gharama za uchaguzi.
Waingereza wanasema, justice is blind, hii ina maana kuwa sheria hazina siasa na kwa maana hiyo, ni vizuri wananchi wa Jimbo la Ubungo wakaanza kujiandaa mapema kuingia kwenye Uchaguzi mwingine wa kupata Mbunge Mpya.
Mbona hushangai Nape nchi nzima imeshangaa na alivochaguliwa kuwa Waziri ndo kabsaaa ikawa maajabu saba ya Dunia..Hii nchi ina vituko kweli Kubenea nae ni mbunge daah!!!.
Sio ujanja ujanja wala usanii braza, that's smartness upstairs..Ujanja ujanja na usanii katika miji au Jiji ni mtaji.
Saed Kubenea ametumia vizuri mtaji wake kupata ubunge!