MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,512
Kubenea ahukumiwa kifungo cha njeKwenye post ya mtoa mada naomba kuelrweshawa yafuatayo..
1. Hukumu inasema kikizidi kifungo cha miezi 6. lakini adhabu ya Kubenea endapo atapatikana na kosa inasema kifungo kisichozidi miezi sita... UFAFANUZI TAFADHARI KWA ANAYEJUWA ataachishwaje ubunge kwa kofingu hicho
2. Adhabu inatamka mtu hatateuliwa au kuchaguliwa kugombea ubunge kama keshafungwa. Sasa kubenea yeye ni mbunge tayari na sijaona panaposema akishakuwa mbunge halafu akafungungwa nini kinatokea