Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Atii? Hahahahahaha....nilijua kubenea atawahenyesha tu mpaka mtapike nyongo kwani konda hakupewa cheo kwa kuwabeba watoto wa mkulu juu na kuwafuta viatu?

Hujaelewa au mchokozi tu?Atii? Hahahahahaha....
Mkuu inawauma wote na wakala wao yule anaye Lilia kupata uenyekiti wa pacKatika vitu vinavyowauma CCM ni UBUNGO kushikiliwa na upinzani....Kubenea atamnyoosha Konda.
Hahahahahahahahahaha...nimekumbuka tena nikacheka, Makonda alimfuta nani viatu? Na kwasabb gani? Kufuta viatu haswaa au alikuwa shoe shiner?Hujaelewa au mchokozi tu?
Hongera sana zzk ni mwenyekitiBinadamu tunatofautiana kifikra na kimtazamo!
Ujanja ujanja na usanii umelipa tiketi ya kwenda bungeni!
Wewe jamaa unataka kuvunja mbavu za watu tushindwe kupiga wali kwa maharage usiku huuHahahahahahahahahaha...nimekumbuka tena nikacheka, Makonda alimfuta nani viatu? Na kwasabb gani? Kufuta viatu haswaa au alikuwa shoe shiner?
Inaweza ikawa kweli kwa akili yako na utashi wako ulipoishia ila kwa waungwana ni kosa na pia kisheria ni kosa"kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa"...
Hapa Kubenea (kama kweli alisema) atakua amekosea hapo tu kwenye kibaka lakini mengine yote ni sawa kabisaaa.
Kuongezea ata mandera alikaa zaid ya miaka 20 leo amekua icon duniani muache akajenge jina gerezani 2020 achukue kiulainiNaona mtoa mada ume quote vifungu vya sheria mimi sio mwanasheria na sijaenda kuvipitia, sasa kama ni hivyo kweli kama ulivyo viweka hapo SHERIA IMESEMA KIFUNGO KISICHOZIDI MIEZI SITA na sheria ya uchaguzi imesema KIFUNGO KINACHOZIDI MIEZI SITA kwa hiyo hata kama atashindwa kesi akafungwa MAXIMUM SENTENCE 6 MONTHS ataenda atarudi bado atakua mbunge wako
Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanatuambia demokrasia ni gharama hata hivyo gharama za demokrasia ambazo hazina mpango(justification) ni kama wizi wa mali ya umma. Matokeo ya matendo ya Saed Kubenea yako mbioni kuakisi wizi wa mali za umma(unjustifiable expenditure).
Ikumbukwe kuwa, Mbunge huyu wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kwa tiketi ya CHADEMA kwa sasa ana kesi mahakamani ambayo matokeo yake yanaweza kutengua kikatiba Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea anadaiwa mahakamani kama ilivyonukuliwa na Gazeti la Majira kutenda kosa Desemba 14, 2015, katika Kiwanda cha Nguo cha Took Garment Com Ltd, kilichopo Mabibo External kwa kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya, Makonda akisema ni kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa hali ambayo iliashiria uvunjifu wa amani na utulivu.
Katika macho ya kanuni za adhabu nchini, kosa la Kubenea linakaribisha kifungo gerezani cha kuanzia miezi sitta.
Katika sheria ya Kanuni za adhabu Sura ya Sita, kifungu cha 89(1)(a-b) kinasema;
89(1) Mtu ye yote ambaye:-
(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani; au
(b) atazozana au kwa namna nyingine yeyote ataleta fujo kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani. Mtu huyo amekosa kosa dogo na atakapoonekana na hatia atapasiwa kifungo cha miezi sita.
Katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye kifungu cha 67(2)(c) inasema;
67(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu.
Wananchi wa Ubungo kuingia kwenye Uchaguzi mwingine ambao sababu zake zingeweza kuzuilika kiutaratibu na kisheria liwe funzo kwa taifa!
Ni vizuri Mamlaka zinazowasimamia wawakilishi ambazo ni Tume ya Uchaguzi, Bunge na vyama vya siasa ziangalie utaratibu wa kuanzisha semina elekezi mapema iwezekanavyo baada ya uchaguzi ili wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea waweze kupata darasa litakalo wawezesha kuelewa umuhimu wao katika taifa.
Wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea lazima waelewe neno MHESHIMIWA kama kianzishi cha Jina kwa wabunge halikuwekwa kama pambio bali limewekwa kuonyesha umuhimu wa Mbunge katika jamii na taifa.
Huyu MHESHIMIWA tokea atangazwe kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, he keeps hitting the headlines for all the wrong reasons. Hawezi hata kujifunza kutoka kwa wabunge wa aina ya John Mnyika ambao wamefanikiwa katika ubunge siyo kwa sababu ya wrong reasons and character bali kwa sababu ya kuibua hoja za kitaifa na kuzisimamia kwa nguvu za hoja. Mnyika has always been exceptionally good at his job, he never puts a foot wrong.
Wananchi wanaingia gharama kubwa kumpata Mbunge lakini vile vile inatakiwa watu wa aina ya Saed Kubenea wawekewe chujio imara ili wasiweze kupenya na kuwa wabunge kwa sababu matendo yao hayaakisi/hayaendani na gharama za kumpata Mbunge kutoka kwa wananchi ambao ni walipa gharama za uchaguzi.
Waingereza wanasema, justice is blind, hii ina maana kuwa sheria hazina siasa na kwa maana hiyo, ni vizuri wananchi wa Jimbo la Ubungo wakaanza kujiandaa mapema kuingia kwenye Uchaguzi mwingine wa kupata Mbunge Mpya.
Ah, una muda wa kupoteza, hivi katika kesi lukuki za wanasiasa katika nchi hii, ni nani aliwahi kufungwa. Nyingine inayofanana na hiyo (kumtukana mkuu wa wilaya) imeamuliwa juzi tu huko Kigoma, nani kafungwa. Wanasiasa wana kesi: Musoma, Igunga, Dar es Salaaam, Moshi, Arusha kwa Lema. Kesi za aina hiyo ziko nyingi sana. Tusipotezeane wakati.Matendo ya Saed Kubenea ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo yako mbioni kuwaingiza wananchi katika gharama ya uchaguzi mwingine wa kumtafuta Mbunge mpya wa Jimbo la Ubungo.
Wataalam wa mambo ya kisiasa wanatuambia demokrasia ni gharama hata hivyo gharama za demokrasia ambazo hazina mpango(justification) ni kama wizi wa mali ya umma. Matokeo ya matendo ya Saed Kubenea yako mbioni kuakisi wizi wa mali za umma(unjustifiable expenditure).
Ikumbukwe kuwa, Mbunge huyu wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kwa tiketi ya CHADEMA kwa sasa ana kesi mahakamani ambayo matokeo yake yanaweza kutengua kikatiba Ubunge wake wa Jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea anadaiwa mahakamani kama ilivyonukuliwa na Gazeti la Majira kutenda kosa Desemba 14, 2015, katika Kiwanda cha Nguo cha Took Garment Com Ltd, kilichopo Mabibo External kwa kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya, Makonda akisema ni kibaka, mpumbavu, mjinga na cheo alichonacho ni cha kupewa hali ambayo iliashiria uvunjifu wa amani na utulivu.
Katika macho ya kanuni za adhabu nchini, kosa la Kubenea linakaribisha kifungo gerezani cha kuanzia miezi sitta.
Katika sheria ya Kanuni za adhabu Sura ya Sita, kifungu cha 89(1)(a-b) kinasema;
89(1) Mtu ye yote ambaye:-
(a) atatumia maneno ya kinyaa, ya matusi au ya usafihi kwa mtu mwingine yeyote kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani; au
(b) atazozana au kwa namna nyingine yeyote ataleta fujo kwa namna ambayo huenda ikaleta uvunjifu wa amani. Mtu huyo amekosa kosa dogo na atakapoonekana na hatia atapasiwa kifungo cha miezi sita.
Katiba yetu ya mwaka 1977 kwenye kifungu cha 67(2)(c) inasema;
67(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge-
(c) ikiwa mtu huyo amehukumiwa na Mahakama yoyote katika Jamhuri ya Muungano na kupewa adhabu ya kifo au ya kufungwa gerezani kwa muda unaozidi miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kosa lolote, vyovyote linavyoitwa, linaloambatana na utovu wa uaminifu.
Wananchi wa Ubungo kuingia kwenye Uchaguzi mwingine ambao sababu zake zingeweza kuzuilika kiutaratibu na kisheria liwe funzo kwa taifa!
Ni vizuri Mamlaka zinazowasimamia wawakilishi ambazo ni Tume ya Uchaguzi, Bunge na vyama vya siasa ziangalie utaratibu wa kuanzisha semina elekezi mapema iwezekanavyo baada ya uchaguzi ili wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea waweze kupata darasa litakalo wawezesha kuelewa umuhimu wao katika taifa.
Wawakilishi wa aina ya Saed Kubenea lazima waelewe neno MHESHIMIWA kama kianzishi cha Jina kwa wabunge halikuwekwa kama pambio bali limewekwa kuonyesha umuhimu wa Mbunge katika jamii na taifa.
Huyu MHESHIMIWA tokea atangazwe kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, he keeps hitting the headlines for all the wrong reasons. Hawezi hata kujifunza kutoka kwa wabunge wa aina ya John Mnyika ambao wamefanikiwa katika ubunge siyo kwa sababu ya wrong reasons and character bali kwa sababu ya kuibua hoja za kitaifa na kuzisimamia kwa nguvu za hoja. Mnyika has always been exceptionally good at his job, he never puts a foot wrong.
Wananchi wanaingia gharama kubwa kumpata Mbunge lakini vile vile inatakiwa watu wa aina ya Saed Kubenea wawekewe chujio imara ili wasiweze kupenya na kuwa wabunge kwa sababu matendo yao hayaakisi/hayaendani na gharama za kumpata Mbunge kutoka kwa wananchi ambao ni walipa gharama za uchaguzi.
Waingereza wanasema, justice is blind, hii ina maana kuwa sheria hazina siasa na kwa maana hiyo, ni vizuri wananchi wa Jimbo la Ubungo wakaanza kujiandaa mapema kuingia kwenye Uchaguzi mwingine wa kupata Mbunge Mpya.
Mkuu hili jawabu limeenda shule!Hii ni kwa sababu ya elimu ya ''hapa na pale''!
Teh teh teh teh ulijuajeYaani Kubenea mimi nilivyo mwelewa yaani kama aliupania sana ubunge ili watu wamjue kuwa yupo bila ya kuangalia anajitambulishaje.
Nahii nimekuja kugundua ni kweli kwani watu wengi ambao hawana vyeti na elimu za kuunga wana shida.
Naona najisi silikali ilivyompania ataishia kutumia kopo/mdoo.
Vibaraka wa Ayatullah mna shida sana aisee!Hakuna anayemuandama.
Tabia na matendo yake ndiyo vinamwandama!
Huu ni utawala wa John Pombe Joseph Magufuli!Mahakama itamsamehe hakuna tabu,waheshimiwa huwa hawafungwi
Unashangaa hilo ? Wakati kikwete alikuwa Rais kituko cha karne hii.Hii nchi ina vituko kweli Kubenea nae ni mbunge daah!!!.