Nimepewa Passport na Mkuu Tiss !

Nimepewa Passport na Mkuu Tiss !

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,411
Reaction score
38,027
Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja.

Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati.

Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu.
Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote.

Ngongo kwasasa Tandamti.
 
ok.🐒
 
Jambo la kushangaza ni kuwa "Prof. Ngongo" anazungumzia habari za "wakubwa na taratibu zao" kana kwamba Professa huyu huo u-profesa wake hautofautiani vyovyote na zile Ph.D wanazomgawia mkuu wa "taratibu" wao, Dr Samia Suluhu Hassan.

Sasa huyu Profesa tumuelezee vipi hasa kwa kutojuwa taratibu hadi za kuwapata hao "wakurugenzi" wanaomchanganya akili kiasi hiki!
 
Hiyo passport jinsi ilivyochukuliwa ndivyo inatakiwa kurudishwa.
Kwani ilichukuliwaje?
 
Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja.

Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati.

Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu.
Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote.

Ngongo kwasasa Tandamti.
Boss wako alienda Kizimkazi kujipendekeza.
 
Unaitwa nani? Ngongo
Unaiamini idara ya usalama? IDARA inakandamiza upinzani.
Kwani passport yako nani alikupa? Mkuu wa idara
Sasa mbona unasema inakandamiza? Ngongo malizia kujibu.
 
Tatizo bado haujaliona !.
Nikipanda majukwaani naibagaza Sirikali kumbe nyuma ya pazi tunawasiliana,tunacheka na tunapena haueni za kutosha.
 
Tatizo tunalijua na tumekaa kimya tu..
Ndo maana kila swali ukiulizwa jibu ni Haujui
Hukumbuki.
Ila tumeshakujua.
 
Back
Top Bottom