Mbinu zitumikazo kuiba pesa nyingi kwa kudukua taarifa za mashine ya ATM

Mkuu Naomba unipe Elimu kidogo hivi madhara ya kujibu PM ni yapi??
Kwa uzi kama huu ni mbaya kujibu PM maana huku kuna Usalama wa Taifa, Kuna polisi aka Watoto wa Kamanda Siro, kuna wenye nia nzuri pia. Tatizo kwa ID zetu huwezi kumjua yupi ni yupi hivyo unatakiwa utulie tu..... Unaweza kujibu kumbe unajilengesha kwao. Kitakachofata ni Historia.
 
Kwa uzi kama huu ni mbaya kujibu PM maana huku kuna Usalama wa Taifa, Kuna polisi aka Watoto wa Kamanda Siro, kuna wenye nia nzuri pia. Tatizo kwa ID zetu huwezi kumjua yupi ni yupi hivyo unatakiwa utulie tu..... Unaweza kujibu kumbe unajilengesha kwao. Kitakachofata ni Historia.

Mkuu kwani uki mjibu huko huko PM bila kutoa any details zako kuna madhara gani???
 
wanaijeria wana maana hao...??kuna mnaijeria alifoji dole gumba kwenye nyaraka za kibank.....wazungu walisumbuka sana kubaini fingerprint....... .baaada ya kupigwa mzigo wa maana........ baada walikuja kubaini ...kumbe jamaa alichofya dhakari kwenye wino kisha akakandamiza kwenye nyaraka kama alama ya gumba..... .....!!!..
Haaahhhhaha mbavu zangu mie
 
I guess umejaribu umeshindwa, ikabidi tu uje urushe. Lets hope haujatumia majina yao wanayoitwa ata hizo nicknames. Pia picha sio zako.
 
Mkuu STUNTER usijaribu uhalifu kwa njia ya kuhack kama uwezo wako ni mdogo, utaozea jela. Mwaka 2013 kuna chalii aliwahack M_pesa akalala mbele na mil 300, lakini jamaa alikua na masters ya Computer science ya Rochester.
jamaa alitumia kuna vitu tunaita "key loggers"
 
Sasa umeona sasa unavyotutamanisha??
Kwani kuna uwezekano wa kukamatwa ukitumia njia ya mshumaa? Manake hapa nimepanga kujaribu kwenye hii ATM ya mtaani hapa
Kwa kujarbu kafungue ac mpya kwa kutumia credentials ambazo kwa asilimia kadhaa cyo zako ( inawezekana) then ukiwa unaenda atm na card yako yenye mshumaa chunga kamera zisikunase ilihatakama kad ikinasa unahepa na probability ya kukamatwa inapungua.
 
Wamarekani nuksi, hata vile vichwa vilivyokuwa vinafanya kazi na chama cha NAZI , Wamarekani waliwavuta kimyakimya na kuwatumia kwenye vituo vyao vya utafiti, kwa mfano Yule father wa Space Rockets ya Marekani Von Braun, ambaye kimsingi alikuwa ni mwanasayansi wa NAZI ya ujerumani, alichukuliwa na Marekani na akasaidia sana Space projects za NASA
 
Mkuu unanihamasisha kuanza kudukua lakini hukonninkudukua ATM, muulize Kid O namna ya kumdukua Baba mwenye nyumba..
 
Naomba no ya kid o

Sasa huu ndio uchawi wenye manufaa. Sio uchawi wakuvimbishana matumbo.

Mkuu ONTARIO niko kwenye hatua za awali kujaribu kuhack account yangu mwenyewe kwa majaribio, kabla sijaenda mbali zaidi ningependa kujua sheria za cyber zinasemaje kuhusu mtu kujidukua?

Dah yani mshumaa wa shiling 100 unaweza kunipa mamilioni?

Hali ikiendelea hivi naenda kununua paketi ya mishumaa.

Wiseboy subscribed on this thread....

Mshana Jr huu ndio uchawi vijana wa sasa wanataka kusikia sio bundi kutua njia panda.
Honestly napenda sana udukuzi.
Hata simu yangu yenyewe inajidukua, ukiiba nitakupata tu koz 24hours inajidukua

Nyie...
 
Back
Top Bottom