Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA

Yule Dada Chawa..yupo kimkakati ndiyo maafisa Vipenyo hao wanajipambanua.

Mwisho wa siku anaunga juhudi mkono ,Ndugai anampa shavu maisha yanaendelea.
 
Chadema sijui wanasubiri nini kumfukuza kwenye chama?
Wamfukuze kivipi?
Wewe utafukuzwa lakini sio huyo,
Na kaa ukijua kuwa mbowe bado anatuliza kichwa, siku akirudi anateua wanawake viti maarumu anafunga mjadara, nyie viherehere mnafunga midomo na mikia mnashusha na mchezo unaishia hapo,
Mtarudi kusema hapa ni bora amechagua kuliko kuacha hiyo pesa😁😁😁😁
 
Mjinga namba ya mwisho
Habari wana jukwaa.

Kufuatia uchaguzi kuisha na Chadema kuambulia Mbunge mmoja huko Nkasi Kaskazini Aida Khenan aliyeibuka mshindi kwa kumbwaga mbunge machachari wa ccm Ally kesi aliyeliongoza jimbo hilo kwa miaka kumi!

Ikumbukwe Aida Khenan licha ya yeye kuibuka kidedea pia kwenye jimbo lake jumla ya madiwani kumi wa Chadema walishinda kwenye kata zao ,hivyo kulifanya jimbo la Nkasi kuongoza kwa kuibwaga ccm kwenye ubunge na udiwani!

Ikumbukwe pia, kabla ya uchaguzi vigogo wa Chadema waliokuwa wanajimwambafai kuwa wanazijua mbinu za medani za kuishinda ccm ni Mbowe, Mdee ,Lema ,Msigwa ,Heche na Sugu walioishia kubwagwa vibaya sana kwenye majimbo yao!!
Kwa muktadha huo kati ya Mbowe na Aida Khenan ni nani anazijua mbinu za medani za kushinda uchaguzi? Bila shaka ni Aida Khenan wa Nkasi Kaskazini na si Lema ,Msigwa wala Mdee!!!

Je Chadema iko tayari kuongozwa na mwenyekiti asiyejua medani za kushinda uchaguzi? La hasha Chadema inatakiwa kuongozwa na Aida Khenan anayejua mbinu za kuishinda ccm bila kuleta visingizio vya tume, polisi wala mawakala.

Anayejua jinsi ya kushawishi wananchi, kusambaza mawakala vituoni ,kudeal na polisi ,kumbana mkurugenzi ndiyo awe mwenyekiti wa CHADEMA.
Si Mbowe ,wala Tundu Lisu aliyefika Nkasi kumuombea kura Aida lakini bado akaibuka kidedea, hivyo anazo sifa zote za kuwa mwenyekiti mpya wa chama.
 
Kamchague wewe na mama yako na familia yako awe mwenyekiti wenu, dohooo tabhuu
Bila shaka wewe ni Joyce Mkuya ,pole sana safari hii utauchezea ukuni bila hongo la viti malum ulilozoea miaka yote.
 
Sasa wamfukuze kwa kosa gani? Huyu ni wa kumtenga na kumnyima ushirikiano kuanzia ngazi ya chini hadi juu, lazima ni mtoa Siri na amewekwa hapo kwa kusudi maalum
Atengwe kwa kushinda uchaguzi?
Kumbe Chadema hamtaki wagombea wenu washinde?

Aliyewabatiza nyumbu aliona mbali
 
Habari wanajukwaa.

Kufuatia uchaguzi kuisha na CHADEMA kuambulia Mbunge mmoja huko Nkasi Kaskazini, Aida Khenan aliyeibuka mshindi kwa kumbwaga mbunge machachari wa CCM Ally kesi aliyeliongoza jimbo hilo kwa miaka kumi!

Ikumbukwe Aida Khenan licha ya yeye kuibuka kidedea pia kwenye jimbo lake jumla ya madiwani kumi wa CHADEMA walishinda kwenye kata zao, hivyo kulifanya jimbo la Nkasi kuongoza kwa kuibwaga CCM kwenye ubunge na udiwani!

Ikumbukwe pia, kabla ya uchaguzi vigogo wa CHADEMA waliokuwa wanajimwambafai kuwa wanazijua mbinu za medani za kuishinda CCM ni Mbowe, Mdee ,Lema ,Msigwa ,Heche na Sugu walioishia kubwagwa vibaya sana kwenye majimbo yao!

Kwa muktadha huo kati ya Mbowe na Aida Khenan ni nani anazijua mbinu za medani za kushinda uchaguzi? Bila shaka ni Aida Khenan wa Nkasi Kaskazini na si Lema ,Msigwa wala Mdee!!!

Je, CHADEMA iko tayari kuongozwa na mwenyekiti asiyejua medani za kushinda uchaguzi? La hasha CHADEMA inatakiwa kuongozwa na Aida Khenan anayejua mbinu za kuishinda CCM bila kuleta visingizio vya tume, polisi wala mawakala.

Anayejua jinsi ya kushawishi wananchi, kusambaza mawakala vituoni ,kudeal na polisi ,kumbana mkurugenzi ndiyo awe mwenyekiti wa CHADEMA.

Si Mbowe ,wala Tundu Lisu aliyefika Nkasi kumuombea kura Aida lakini bado akaibuka kidedea, hivyo anazo sifa zote za kuwa mwenyekiti mpya wa chama.
We Pimbi wa Lumumba mbona unawashwawashwa Sana na Chadema Kama wale wastaafu wanaowashwawashwa . Kwa IQ yako na mwenyekiti wako ya 0.0000001 na wenzio Lumumba unajiona umeshusha bonge la thread ? .
 
Back
Top Bottom