Mbinu za medani: Aida Khenan, Mbunge wa Nkasi ndiyo awe Mwenyekiti wa CHADEMA

Nau
Habari wanajukwaa,

Kufuatia uchaguzi kuisha na CHADEMA kuambulia Mbunge mmoja huko Nkasi Kaskazini, Aida Khenan aliyeibuka mshindi kwa kumbwaga mbunge machachari wa CCM Ally kesi aliyeliongoza jimbo hilo kwa miaka kumi!

Ikumbukwe Aida Khenan licha ya yeye kuibuka kidedea pia kwenye jimbo lake jumla ya madiwani kumi wa CHADEMA walishinda kwenye kata zao, hivyo kulifanya jimbo la Nkasi kuongoza kwa kuibwaga CCM kwenye ubunge na udiwani!

Ikumbukwe pia, kabla ya uchaguzi vigogo wa CHADEMA waliokuwa wanajimwambafai kuwa wanazijua mbinu za medani za kuishinda CCM ni Mbowe, Mdee ,Lema ,Msigwa ,Heche na Sugu walioishia kubwagwa vibaya sana kwenye majimbo yao!

Kwa muktadha huo kati ya Mbowe na Aida Khenan ni nani anazijua mbinu za medani za kushinda uchaguzi? Bila shaka ni Aida Khenan wa Nkasi Kaskazini na si Lema ,Msigwa wala Mdee!

Je, CHADEMA iko tayari kuongozwa na mwenyekiti asiyejua medani za kushinda uchaguzi? La hasha CHADEMA inatakiwa kuongozwa na Aida Khenan anayejua mbinu za kuishinda CCM bila kuleta visingizio vya tume, polisi wala mawakala.

Anayejua jinsi ya kushawishi wananchi, kusambaza mawakala vituoni ,kudeal na polisi ,kumbana mkurugenzi ndiyo awe mwenyekiti wa CHADEMA.

Si Mbowe ,wala Tundu Lisu aliyefika Nkasi kumuombea kura Aida lakini bado akaibuka kidedea, hivyo anazo sifa zote za kuwa mwenyekiti mpya wa chama
Naunga mkono hii hoja,ni ya msingi na itaondoa dhana ya chama chenye uongizi wa kikanda , kikabila na kiukoo.
 
Enyi vijana wa lumumba kushinda mmeshinda na bado mnateseka na chadema, pigeni kazi Rais kasema siasa zimeisha, nchi tumeishawaachia...

Kama huyu dada mnataka awe mwenyekiti Wala hakuna shida mchagueni sidhani kama mtashindwa, Sasa kelele zinatokea wapi.....

Ni kwann hamna furaha wakati mmeshinda kwa kishindo??? ....

Na kama furaha mnayo kwann mnaendeleza siasa wakati Raisi kasema siasa zimeisha??....

Waacheni chadema waugulie maumivu yao na nyie muendeleze furah yenu....
 
Habari wanajukwaa,

Kufuatia uchaguzi kuisha na CHADEMA kuambulia Mbunge mmoja huko Nkasi Kaskazini, Aida Khenan aliyeibuka mshindi kwa kumbwaga mbunge machachari wa CCM Ally kesi aliyeliongoza jimbo hilo kwa miaka kumi!

Ikumbukwe Aida Khenan licha ya yeye kuibuka kidedea pia kwenye jimbo lake jumla ya madiwani kumi wa CHADEMA walishinda kwenye kata zao, hivyo kulifanya jimbo la Nkasi kuongoza kwa kuibwaga CCM kwenye ubunge na udiwani!

Ikumbukwe pia, kabla ya uchaguzi vigogo wa CHADEMA waliokuwa wanajimwambafai kuwa wanazijua mbinu za medani za kuishinda CCM ni Mbowe, Mdee ,Lema ,Msigwa ,Heche na Sugu walioishia kubwagwa vibaya sana kwenye majimbo yao!

Kwa muktadha huo kati ya Mbowe na Aida Khenan ni nani anazijua mbinu za medani za kushinda uchaguzi? Bila shaka ni Aida Khenan wa Nkasi Kaskazini na si Lema ,Msigwa wala Mdee!

Je, CHADEMA iko tayari kuongozwa na mwenyekiti asiyejua medani za kushinda uchaguzi? La hasha CHADEMA inatakiwa kuongozwa na Aida Khenan anayejua mbinu za kuishinda CCM bila kuleta visingizio vya tume, polisi wala mawakala.

Anayejua jinsi ya kushawishi wananchi, kusambaza mawakala vituoni ,kudeal na polisi ,kumbana mkurugenzi ndiyo awe mwenyekiti wa CHADEMA.

Si Mbowe ,wala Tundu Lisu aliyefika Nkasi kumuombea kura Aida lakini bado akaibuka kidedea, hivyo anazo sifa zote za kuwa mwenyekiti mpya wa chama.
Una uhakika alishinda?
 
Huyo afisa kipenyo sijui kipeuo wenu hatuna muda naye , plan yenu imefeli . Fikiri kabla ya kutenda , Jiwe , ccm mlitenda mliyoyafanya kwenye uchaguzi , kabla na baada kabla ya kufikiri , yaani mkatanguliza kutenda kabla kufikiri madhara yake Sasa maccm mpaka aibu .
 
Back
Top Bottom