Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,846
- 730,319
Kama kuna kitu kinakera majumbani mwetu hasa Kama nyumba haina uzio(case study ya uswahilini) ni kule kuamka asubuhi dirisha limekatwa na vitu kama simu wallet nguo vidani nk havipo vimekombwa vyote...
Hii kitu inakata stimu zote. Sasa fanya hivi kukomesha hii tabia;
1. Kama hutaweza kukesha kuwasubiri wategeshee shoti ya umeme dirishani akigusa tu katupwa kule...! Huyo harudi tena.
2. Tumia dawa ya kuulia mbu ile ya kupulizia, mbinu hii inataka timing kisha uwe tayari kukesha halafu uwe Karibu na dirisha, akianza tu mambo yake unampulizia machoni utasikia tu.. Mamaaaa...!!!
3. Kama ya pili tu ila hii unakuwa na spoke ya baiskeli iliyochongwa vizuri nchani, mbinu hii inataka shabaha na timing ila unaweza kumpofua mtu jicho
4. Mafuta au maji ya moto
5. Ushirikina: Anaganda hapo hapo mpaka asubuhi ili umuone umfahamu na wengine pia wamuone wamfahamu..