Mbinu za kusave pesa yako

Mbinu za kusave pesa yako

Naongezea

9.lipa madeni yote Kama unadaiwa
10.Usijibebeshe Majukumu yanayokuumiza kwa mtu ambae hujamuoa
11.Punguza kula mgahawani pika mwenyewe chakula chako
12.Nunua Vyakula visivoharibika kwa Bei ya jumla Mfano mchele,mahindi,mafuta nk
13.Usiishi kwa mashindano Mfano kuvaa kila fashion
14.Punguza matumizi ya Bando na vifurushi kwa kununua vifurushi vya mwezi kwa kutumia pocket WIFi
15.Ongeza Part time job ukiipata
16.Mwisho Heshimuu kipato chako
Mkuu maelekezo zaidi au ufafanuzi kuhusu hiyo no 14 please
 
So sad lakin hamna namna ni umaskini tu, Kuna tofauti kubwa kati ya kujinyima na kusave, anasave mtu anae kidhi mahitaji yake kwanza tofauti na hapo unajinyima na hii ni dhambi kama zilivyo zambi zingine!
 
Ukipata mshahara Fanya savings kwanza then itakayobaki ndo utumie vibaya,Incase una matumizi mabaya ya hela.
 
Naongezea

9.lipa madeni yote Kama unadaiwa
10.Usijibebeshe Majukumu yanayokuumiza kwa mtu ambae hujamuoa
11.Punguza kula mgahawani pika mwenyewe chakula chako
12.Nunua Vyakula visivoharibika kwa Bei ya jumla Mfano mchele,mahindi,mafuta nk
13.Usiishi kwa mashindano Mfano kuvaa kila fashion
14.Punguza matumizi ya Bando na vifurushi kwa kununua vifurushi vya mwezi kwa kutumia pocket WIFi
15.Ongeza Part time job ukiipata
16.Mwisho Heshimuu kipato chako
Tungi vipi linaruhusiwa hapa?
Tungi ndiyo mwisho wake. Kama huna mishe za kueleweka hata boxer hununui we ukipata ka 10 tungi tu
 
Mbinu ya kusave pesa ni kushinda ndani kuanzia asubh had jioni either ukijisomea au ukicheki move then usiku ulale. Wakati huo huo upike chakula ule asubuhi, mchana na usiku. Hii itasaidia kidogo japo inategemea mtu na mtu.
 
Habari za Jioni Mabro

Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake

Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu kulipwa kwa mwezi hasa hasa kwa hapa Dar es salaam ambayo vitu vingi gharama zake ni nafuu sana

Kuna kiwanda fulani nilikuwa nafanya kazi kipindi hiko baada ya kumaliza form four sasa kuna mtu nilipangiwa nae kufanya kazi pamoja alikuwa ni mtu mzima sana na katika stori za hapa na pale alinambia yeye anaishi na mkewe na wana mtoto mmoja anasoma shule ya msingi

Na sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi tulikuwa tunalipwa 5000 kwa siku na mshkaji anasema hiyo hiyo anasurvive vizurii tu na familia yake, analipa kodi ya chumba,mtoto anaenda shule na wanakula vizuri tu halaf mi kipindi hiko chalii nilirudi mtaani tu mshiko umeisha tayari kesho naamsha tena

Kaka nipe connection za kazi nipo mara
 
Back
Top Bottom