Karibu tuchangie mkuu
Ukikosa kazi je?Unaweza kufanya kazi ukipata mshahara,ndio mtaji wako wa kuanzia biashara
Kushirikiana inabidi na wewe uwe na pesa ya kuongezeaKuiba, kukopa, kushirikiana na MTU mwenye biashara nk
Saidia fundi au okota makopo kauzeUkikosa kazi je?
Well said mkuuMe nionavo n MTU mwenyew kujituma kufanyaa kaz ndogo ndogo za vibarua hata vya ujenz mrad ujue nn unakitafta BA's ukilipwa jifunze kuweka akiba kwa ajili ya mtaji was biashara unayo taka kuifikia
Ukiona kufanya hivyo n ngumu share idea yako na ndugu jamaa na marafiki wajue mtazamo wako na malengo then pitisha haraambe ya uchangiz kwai na watakusaidia kufikia malengo yako
Mrad utambue nn unacho taka kufanya
Asante umeshauri kitu kizuri sana aiseeUkiwa na utaratibu wa "kusave" hata 20% ya kila hela utakayoipata hata kama ni ndogo baada ya miezi kadhaa utaona maajabu yake. Wengi tunakwama kufanya biashara kwa sababu ya kubakia kuwaza wapi nitapata "kiasi fulani" nifanye "biashara fulani" huku siku, miezi na miaka inazidi kukatika bila mafanikio kumbe kwa muda wote huo ungekua unasave ungeshajipatia msingi. Sio ajabu kukutana na mtu ana ndoto ya kufanya kitu fulani na anahitaji labda 1.5M lakini hii ndoto ipo kichwani zaidi ya miaka mitatu kisa anasubiria mtaji na bado anaendelea kusubiri. Saving is simple ni kujaribu tu kupunguza matumizi yasiyokua ya lazima. Kama kweli una nia Utafanikiwa!