Mbinu za kupata mitaji ya biashara

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Habari wana jukwaa hili pendwa,
Nimekuja tushare mbinu mbalimbali za kupata mitaji ya kufanyia biashara mbalimbali
Wengi wetu tumekua tukihaha kutafuta mitaji ya kufanyia biashara na ujasiriamali
Wengi wameshindwa kukopa mabenk hususan mikopo midogo kwa sababu ya kukosa vigezo kama dhamana n,k
Suali jee tunawezaje kupata mitaji ya kufanyia biashara mbalimbali?
Karibuni tujadiliane tupate maarifa
 
Unaweza kufanya kazi ukipata mshahara,ndio mtaji wako wa kuanzia biashara
 
Me nionavo n MTU mwenyew kujituma kufanyaa kaz ndogo ndogo za vibarua hata vya ujenz mrad ujue nn unakitafta BA's ukilipwa jifunze kuweka akiba kwa ajili ya mtaji was biashara unayo taka kuifikia
Ukiona kufanya hivyo n ngumu share idea yako na ndugu jamaa na marafiki wajue mtazamo wako na malengo then pitisha haraambe ya uchangiz kwai na watakusaidia kufikia malengo yako
Mrad utambue nn unacho taka kufanya

Karibu tuchangie mkuu
 
Ukiwa na utaratibu wa "kusave" hata 20% ya kila hela utakayoipata hata kama ni ndogo baada ya miezi kadhaa utaona maajabu yake. Wengi tunakwama kufanya biashara kwa sababu ya kubakia kuwaza wapi nitapata "kiasi fulani" nifanye "biashara fulani" huku siku, miezi na miaka inazidi kukatika bila mafanikio kumbe kwa muda wote huo ungekua unasave ungeshajipatia msingi. Sio ajabu kukutana na mtu ana ndoto ya kufanya kitu fulani na anahitaji labda 1.5M lakini hii ndoto ipo kichwani zaidi ya miaka mitatu kisa anasubiria mtaji na bado anaendelea kusubiri. Saving is simple ni kujaribu tu kupunguza matumizi yasiyokua ya lazima. Kama kweli una nia Utafanikiwa!
 
Njia kuu kuliko zote zakupata mtaji ni Ku save more na Ku spend less katika kila income you earn

Kuchangiana (Upatu)

Vicoba

Hizo Ndio njia nilizotumia Mimi kuimarisha biashara yangu
 
Mbwembwe nyiiiingi, nikazani umeleta solution kumbe umekuja kuomba msada!!.
 
Me nionavo n MTU mwenyew kujituma kufanyaa kaz ndogo ndogo za vibarua hata vya ujenz mrad ujue nn unakitafta BA's ukilipwa jifunze kuweka akiba kwa ajili ya mtaji was biashara unayo taka kuifikia
Ukiona kufanya hivyo n ngumu share idea yako na ndugu jamaa na marafiki wajue mtazamo wako na malengo then pitisha haraambe ya uchangiz kwai na watakusaidia kufikia malengo yako
Mrad utambue nn unacho taka kufanya
Well said mkuu
 
Ukiwa na utaratibu wa "kusave" hata 20% ya kila hela utakayoipata hata kama ni ndogo baada ya miezi kadhaa utaona maajabu yake. Wengi tunakwama kufanya biashara kwa sababu ya kubakia kuwaza wapi nitapata "kiasi fulani" nifanye "biashara fulani" huku siku, miezi na miaka inazidi kukatika bila mafanikio kumbe kwa muda wote huo ungekua unasave ungeshajipatia msingi. Sio ajabu kukutana na mtu ana ndoto ya kufanya kitu fulani na anahitaji labda 1.5M lakini hii ndoto ipo kichwani zaidi ya miaka mitatu kisa anasubiria mtaji na bado anaendelea kusubiri. Saving is simple ni kujaribu tu kupunguza matumizi yasiyokua ya lazima. Kama kweli una nia Utafanikiwa!
Asante umeshauri kitu kizuri sana aisee
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom