Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,673
- 72,856
Unataka kunipa nini wewe kijana mdogo...😆Je, ninakupaje wewe?
Unataka kunipa nini wewe kijana mdogo...😆Je, ninakupaje wewe?
Itakua umeme wa kidatu, hakuna jingine 😂Unataka kunipa nini wewe kijana mdogo...😆
Ataungua vibayaaa....😅😅😅Itakua umeme wa kidatu, hakuna jingine 😂
Usimsikilize huyo mimi nitakupa mapenzi moto moto.. Nimekuwa Niki kutamani for a while nowUnataka kunipa nini wewe kijana mdogo...😆
Ni sawa tu, ni kheri nzi afie kwenye kidonda kuliko kukosa uhondoAtaungua vibayaaa....😅😅😅
Nongwa tu zinakusumbua, unakazia watu kama vile utazikwa nacho?Itakua umeme wa kidatu, hakuna jingine 😂
😅😅😅😅😅Usimsikilize huyo mimi nitakupa mapenzi moto moto.. Nimekuwa Niki kutamani for a while now
Ndiyo nitazikwa nacho, bora kiliwe na funza kuliko kukupa wewe 😆 😂Nongwa tu zinakusumbua, unakazia watu kama vile utazikwa nacho?
Na kutamani kwa wivu mkubwa mno😅😅😅😅😅
Wacha bwana...
Sawa, we only live once. Ukifa ndo imeisha hivyo, Gudubai na rest in peace ✌️Ndiyo nitazikwa nacho, bora kiliwe na funza kuliko kukupa wewe 😆 😂
Kobe mzee😂😂😂Wewe kobe mzee! Upo tokea 2017 ushakwepa mishale mingi
Umeona ee mdogo wangu..huku sikamatiki...😅😅😅😅Wewe kobe mzee! Upo tokea 2017 ushakwepa mishale mingi
Ndo mikobe hyo sasa hatunasi kirahisi...tunaikwepa tuu mishale yani shaaa shaaa...Kobe mzee😂😂😂
Hivi unaichukuliaje mishangazi mkuu?
Hebu Wacha sarakasi na kupata wapi leo kibubu changu nakipasua.Ndo mikobe hyo sasa hatunasi kirahisi...tunaikwepa tuu mishale yani shaaa shaaa...
Umepotelea wapi nawe? Mbona sikuoni kwa threadz siku hiziWewe kobe mzee! Upo tokea 2017 ushakwepa mishale mingi
Jf ukikaa miaka miwili tu basi lazima uwe "sidanganyiki ng'oo" tofauti na hapo wewe utakua kichwa kigumu.Umeona ee mdogo wangu..huku sikamatiki...😅😅😅😅
MajukumuUmepotelea wapi nawe? Mbona sikuoni kwa threadz siku hizi
Majukumu yapi? Au bando imekuwa mtihani?Majukumu
Majukumu ya mtu mzimaMajukumu yapi?
Nitake radhiAu bando imekuwa mtihani?
Wewe nawe ni mtu mzima? Au kisa kuandika kwako kunakuponza... Siku hizi nashusha nondo tu na kupoteaMajukumu ya mtu mzima
Nitake radhi