Tuko whattttt??????are you serious wiht those technics?????????
Kweli kabisa mamii... Ndo inashauriwa hivyo na ni logical..
Mbakaji yeyote anakuwa amedhamiria na amejiandaa. Na anakuwa under very high testosterone hormone ambayo kwa kawaida inasababisha hasira hivyo anaweza kudhuru bila huruma.
Kwa hiyo mwanamke anashauriwa endapo kwa kufurukuta na/au kupiga kelele hana uhakika kama itavutia msaada, then atoe ushirikiano wote.
Faida zake
- Itamfanya mbakaji/wabakaji wasitumie nguvu kum-restrain victim. Kumbuka kwamba ukifurukuta utasababisha wakukabe mdomo, wakushikilie chini kwa nguvu n.k na hii inaweza kusababisha victim akakosa hewa
- Itamfanya mbakaji/wabakaji kupata 'starehe' zaidi na hivyo kuejaculate mapema. Kumbuka ukiwa umebana miguu au hujakaa sawa itafanya mbakaji atumie kazi ya ziada kupata utamu, na hii itamfanya achukue mda mrefu zaidi kufanya kitendo hicho
- Itamfanya mbakaji/wabakaji wasikuumize. Victims wengi wa ubakaji huumizwa zaidi na purukushani za kulazimishwa kuliko kitendo chenyewe
- Kufurukuta kunaweza kumfanya mbakaji kupata wazo la kukudhuru hata kukuua ili kuficha ushahidi. Lakini akiona umetoa ushirikiano (ikiwezekana romance, maviuno, mastaili n.k) atajiridhisha kuwa hata victim anaenjoy hivyo hatashtaki
- Kufurukuta kunasababisha victim atumie nguvu hivyo ahitaji oxygen nyingi. Kutokana na hilo na kwa kuwa anakuwa amebanwa anashindwa kupata hewa ya kutosha, ana-develop oxygen debt, CO2 inakusanyika nyingi mwilini hali inayopelekea acidosis na kifo
NB; Victims wengi wa ubakaji wanaokufa hufa kutokana na asphixiation... kukabwa na kukosa hewa kunakotokana na mbakaji/wabakaji kumbana ili asifurukute na/au kupiga kelele ..kwa mfano kwa kumkalia kifuani, kumkaba shingo, kumsokomezea nguo mdomoni, kumziba mdomo na kadhalika
Kwa hiyo ni bora ukakubali 'kubakwa kwa amani', ukitoka hapo ukawahi hosp wakakupa PEP za HIV ili kuhakikisha hupati maambukizo kama yalikuwepo (pia usisahau kupita famasi ukachukua vidonge vya 'maziwa' ili kuepusha kutungwa mimba isiyotakiwa)