fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,289
- 2,697
Vyama vyote vya upinzani viungane na kusimamisha mgombea mmoja. Tupate katiba mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana mdogo wewe mrundi umepitia jeshi au unaandika tu kufurahisha jamvi.Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la serikali. Hizi ni facts, ni hali halisi kwa ground ambazo hatuwezi kupingana nazo au kujidanganya kuwa hazipo.
Kwa kutambua hilo, mbinu zozote za kupambana na CCM ni lazima zijumuishe ukweli huo. Ningependa kupata mawazo ya wadau, kama una mbinu yoyote inayozingatia hali halisi niliyoeleza tushauriane hapa. Mimi naanza na moja;
Kwa kuwa CCM ina watu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na serikali, nashauri vyama vya upinzani navyo kuanza ku-recruit au kupandikiza watu huko. Mfano, kunapotokea kuna ajira za polisi/TRA/Uhamiaji nk...vyama vya upinzani vichukue jukumu la dhati kuhakikisha kuwa vijana wa chama, wenye imani na vyama hivi wanapata nafasi hizo. Kuanzia kwenye kuhimiza wajiunge mpaka ku-lobby pale inapowezekana ili navyo viwe na watu wao huko.
Je, wewe unashauri mbinu gani itumike kuidhoofisha CCM na/au kuimarisha vyama vya upinzani?
Kijana hajielewi kuwa anachochea Third Columnists ndani ya nchi.Fikiria upya, hiyo imeshindwa kabla haijaanza!!
Shukrani sana, nakubaliana nawe kabisa. Mara ya mwisho walipofanya hivi 2015 walipata kura milioni 6 na wabunge kibao, ndio kura nyingi zaidi kuwahi kupatikana.Vyama vyote vya upinzani viungane na kusimamisha mgombea mmoja. Tupate katiba mpya.
Bwana mdogo wewe mrundi umepitia jeshi au unaandika tu kufurahisha jamvi.
Mawazo yako ni uhaini kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna mbinu yoyote kutoka nje inayoweza kutumika kuiondoa CCM madarakani. Ni Watanzania wachache wanaofikiria mambo ya siasa kama wewe, Watanzania walio wengi wako kwenye habari za Zuchu, Diamondo, Ali Kiba, Amber rutty, Manara, Simba na Yanga na kujikomba kwa yeyote atakayekuwa Ofisi namba moja.Post yangu inaomba michango ya nini kifanyike? ACT ni chama kimojawapo, wana haki ya kutumia mbinu wanayoona inawafaa. Vipi kwa vyama na wadau wengine, je wao watumie mbinu gani?
Haiwezekani UDP, ACT, TLP, ADA TADEA kuungana na ChademaVyama vyote vya upinzani viungane na kusimamisha mgombea mmoja. Tupate katiba mpya.
Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la serikali. Hizi ni facts, ni hali halisi kwa ground ambazo hatuwezi kupingana nazo au kujidanganya kuwa hazipo.
Kwa kutambua hilo, mbinu zozote za kupambana na CCM ni lazima zijumuishe ukweli huo. Ningependa kupata mawazo ya wadau, kama una mbinu yoyote inayozingatia hali halisi niliyoeleza tushauriane hapa. Mimi naanza na moja;
Kwa kuwa CCM ina watu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na serikali, nashauri vyama vya upinzani navyo kuanza ku-recruit au kupandikiza watu huko. Mfano, kunapotokea kuna ajira za polisi/TRA/Uhamiaji nk...vyama vya upinzani vichukue jukumu la dhati kuhakikisha kuwa vijana wa chama, wenye imani na vyama hivi wanapata nafasi hizo. Kuanzia kwenye kuhimiza wajiunge mpaka ku-lobby pale inapowezekana ili navyo viwe na watu wao huko.
Je, wewe unashauri mbinu gani itumike kuidhoofisha CCM na/au kuimarisha vyama vya upinzani?
Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la serikali. Hizi ni facts, ni hali halisi kwa ground ambazo hatuwezi kupingana nazo au kujidanganya kuwa hazipo.
Kwa kutambua hilo, mbinu zozote za kupambana na CCM ni lazima zijumuishe ukweli huo. Ningependa kupata mawazo ya wadau, kama una mbinu yoyote inayozingatia hali halisi niliyoeleza tushauriane hapa. Mimi naanza na moja;
Kwa kuwa CCM ina watu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na serikali, nashauri vyama vya upinzani navyo kuanza ku-recruit au kupandikiza watu huko. Mfano, kunapotokea kuna ajira za polisi/TRA/Uhamiaji nk...vyama vya upinzani vichukue jukumu la dhati kuhakikisha kuwa vijana wa chama, wenye imani na vyama hivi wanapata nafasi hizo. Kuanzia kwenye kuhimiza wajiunge mpaka ku-lobby pale inapowezekana ili navyo viwe na watu wao huko.
Je, wewe unashauri mbinu gani itumike kuidhoofisha CCM na/au kuimarisha vyama vya upinzani?
🤣🤣🤣Kijana hajielewi kuwa anachochea Third Columnists ndani ya nchi.
Hakuna mbinu yoyote kutoka nje inayoweza kutumika kuiondoa CCM madarakani. Ni Watanzania wachache wanaofikiria mambo ya siasa kama wewe, Watanzania walio wengi wako kwenye habari za Zuchu, Diamondo, Ali Kiba, Amber rutty, Manara, Simba na Yanga na kujikomba kwa yeyote atakayekuwa Ofisi namba moja.
CCM itaondoka madarakani kwa kugawanyika yenyewe ndani kwa ndani. Mataga wanaweza kuwa chanzo cha CCM kumong'onyoka japo wanadharauliwa na hawatiliwi maanani, ila mataga ni kundi kubwa ndani ya chama ambalo linaona limesalitiwa na lingetaka mambo yaendeshwe kijiwe na sio kama yanavyokwenda hivi sasa.
Kwa nini unataka CCM idhoofishwe? Why exactly? Halafu, ikidhoofishwa then what?
Mada yako inahitaji ufafanuzi wa kina. Katika demokrasia ya vyama vingi vya siasa haiyumkininiki kuwa na lengo la aina hiyo - kudhoofisha chama fulani. Lengo ni kuhakikisha wananchi wanakuwa na uwezo wa kuamua na kuchagua viongozi bora.
Fafanua unachokusudia kwa kupendekeza hilo na jinsi litakavyowezesha demokrasia ya kweli kuwepo nchini. Kulenga tu kudhoofisha chama fulani cha siasa bila lengo maalum ni kuvuruga mpangilio mzima wa mfumo wa vyama vingi nchini.
Bila ufafanuzi huo utapata michango ya ajabu ajabu kwenye uzi huu.
Sawa nakubaliana na wewe KWamba ccm ipo karibu na vyombo vya dola na ina makada wa siri ,hilo halipingiki ikizingatiwa tz imekua chini ya mfumo wa chama kimoja kabla mfumo wa vyama vingi,hivyo wapo wazee waliofanya huko KAZI ,na wanawatoto,wajukuu na vitukuu,ambao waliwezeshwa na wazazi wao kupata connection ,na ni lazima fuata mfumo wa waliowapa connection japo sio wote wanaweza kuwa na msimamo Kama wao waliowapa connection huko kwenye mioyo yao.Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la serikali. Hizi ni facts, ni hali halisi kwa ground ambazo hatuwezi kupingana nazo au kujidanganya kuwa hazipo.
Kwa kutambua hilo, mbinu zozote za kupambana na CCM ni lazima zijumuishe ukweli huo. Ningependa kupata mawazo ya wadau, kama una mbinu yoyote inayozingatia hali halisi niliyoeleza tushauriane hapa. Mimi naanza na moja;
Kwa kuwa CCM ina watu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na serikali, nashauri vyama vya upinzani navyo kuanza ku-recruit au kupandikiza watu huko. Mfano, kunapotokea kuna ajira za polisi/TRA/Uhamiaji nk...vyama vya upinzani vichukue jukumu la dhati kuhakikisha kuwa vijana wa chama, wenye imani na vyama hivi wanapata nafasi hizo. Kuanzia kwenye kuhimiza wajiunge mpaka ku-lobby pale inapowezekana ili navyo viwe na watu wao huko.
Je, wewe unashauri mbinu gani itumike kuidhoofisha CCM na/au kuimarisha vyama vya upinzani?
Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la serikali. Hizi ni facts, ni hali halisi kwa ground ambazo hatuwezi kupingana nazo au kujidanganya kuwa hazipo.
Kwa kutambua hilo, mbinu zozote za kupambana na CCM ni lazima zijumuishe ukweli huo. Ningependa kupata mawazo ya wadau, kama una mbinu yoyote inayozingatia hali halisi niliyoeleza tushauriane hapa. Mimi naanza na moja;
Kwa kuwa CCM ina watu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na serikali, nashauri vyama vya upinzani navyo kuanza ku-recruit au kupandikiza watu huko. Mfano, kunapotokea kuna ajira za polisi/TRA/Uhamiaji nk...vyama vya upinzani vichukue jukumu la dhati kuhakikisha kuwa vijana wa chama, wenye imani na vyama hivi wanapata nafasi hizo. Kuanzia kwenye kuhimiza wajiunge mpaka ku-lobby pale inapowezekana ili navyo viwe na watu wao huko.
Je, wewe unashauri mbinu gani itumike kuidhoofisha CCM na/au kuimarisha vyama vya upinzani?
Andika mawazo yako na yapeleke Wizara ya Ulinzi na Mambo ya Ndani, au kambi yoyote ya jeshi/polisi.Mie ni Mtanzania kabisa na sijawahi kupita jeshi lolote (iwe mgambo au JKT). Nimeomba kupata mbinu za kuidhoofisha na baadae kuishinda CCM, CCM sio serikali ni chama tu cha siasa kama kilivyo TLP & Jahazi Asilia. Unaweza kunisaidia mbinu gani vyama vya upinzani vitumie ili kuishinda CCM?
Mkiulizwa nyie wachache msiowaza mambo ya Diamond na Ali kiba muda wote mnawaza mambo ya msingi ni kipi mmefanya hadi sasa tofauti na kuishia kukosoa na kujadili siasa humu JF? Jibu hakuna.Hakuna mbinu yoyote kutoka nje inayoweza kutumika kuiondoa CCM madarakani. Ni Watanzania wachache wanaofikiria mambo ya siasa kama wewe, Watanzania walio wengi wako kwenye habari za Zuchu, Diamondo, Ali Kiba, Amber rutty, Manara, Simba na Yanga na kujikomba kwa yeyote atakayekuwa Ofisi namba moja.
CCM itaondoka madarakani kwa kugawanyika yenyewe ndani kwa ndani. Mataga wanaweza kuwa chanzo cha CCM kumong'onyoka japo wanadharauliwa na hawatiliwi maanani, ila mataga ni kundi kubwa ndani ya chama ambalo linaona limesalitiwa na lingetaka mambo yaendeshwe kijiwe na sio kama yanavyokwenda hivi sasa.
Haiwezekani kwa sababu Mataga ni kundi lisilotaka kuwa karibu na yoyote asiye CCM, Mataga kama Polepole ni watu ambao wangefurahi sana kama nchi hii ingegeuzwa ya chama kimoja hata kwa sheria kama enzi za Mwalimu.Shukrani sana kaka. Follow up question, je inawezekana ku-accelerate hili la Mataga mfano?