Mbinu za kuficha pesa Mke/Mpenzi asijue... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu za kuficha pesa Mke/Mpenzi asijue...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Jul 19, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa
  hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au
  ananiachia kidogo, Sasa hivi nimepata ujanja, huwa naficha ndani ya viatu au chini
  ya kiti cha gari, Je wewe una mbinu nzuri zaidi yangu??
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Mimi naficha bank Boflo...kule wanaiba CEOs kama wamekula mpaka mtaji na bank ikafilisika
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Mmeamua kuishi maisha ya tom and jerry??
   
 4. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  Boflo mie naficha kwenye mfuko wa skintaiti :flypig:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  hivi eti unasachi wallet ya hubby ili umkwapulie hela..............upon my dead body kama utanipa mwenyewe sawa nitapokea wala sitakuomba kamwe. ntafuta za kwangu tena za kutosha kunifanya niwe na access ya kila nikitakacho.

  naficha za nini? tena muda mwingine naweza kuchungulia wallet unakuta business cards tu unagundundua kuwa kachacha unachofanya unatafuta japo box moja unamuekea akiamka naye awe na jeuri kama mwanaume.

  halafu Boflo umeshawah kuchacha ww? hapo ndipo utaona kwamba kuwa huru kwa mwenzi wako kama huna tu ni bora sana kuliko kuwa msiri na mnyimi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  khaaaaaaaa! kazi ipo wallah, mpaka tuzeeke tutakuwa tumeona na kusikia mengi! inshaallah MUNGU atupe pumzi na uzima, lol!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ukiona mkeo anakupiga sachi ujue hutimizi majukumu yako kama baba na kiongozi wa familia.....
   
 8. C

  CAY JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmmh hivi huyo ni mke kweli ambaye mnapanaga muwe na maendeleo ya pamoja katika familia?Sasa unaficha za nini na kwa ajili ya nani?
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  cacico msiri wangu upo hny? nakumisije sasa? macho hayo mama wawili.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mwahhhhhh! my dada, mi mith u vibaya mno, ngoja nikupm kitu!
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Na ujue huyo mke lazima atakuwa anapigwa SACHI sana mitaa ya kati!
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mie naficha kwenye minyama ya tumbo maana yako kama daftari
  Hajawahi gundua.
   
 13. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mi huwa naweka hela ambayo nipo tayari kumpa kwenye wallet na nyingine naweka tu mfukoni. Kwa kuwa nimemzoesha hela inakaa kwenye wallet tu, Huwa anakimbilia kwenye wallet baasi. akikuta 15 huwa anachukua 5 ananiachia 10 ya matumizi yangu eti kwa kunionea huruma. Kumbe hajui kwenye mfuko nina zaidi ya kilo na upuuzi.
   
 14. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Mi sifichi naweka kwenye dressing table huku akiniona kabisaa.
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Symptoms of a dying marriage....
   
 16. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Njia nzuri ya kuficha pesa zako kama mkeo/mumeo anatabia ya kusachi ni kumpa pesa zote unazopata akowekee
  Pia akikisha anafahamu kipato chako chote, account zako na awe signatory, na pia umkabidhi cards za ATM na umpe pin number zake. Nakama una M-pesa, Tigo - pesa, Airtel na nyinginezo, pia umpe pin number zake.
  Ukifanya hivyo utakuwa umemaliza tatizo.
   
 17. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yaaaah mbinu ni nyingi kuna kutumia zote ukarud home empty handed,nayo ni mbinu
   
 18. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  sifichi ng'o
   
 19. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Boflo si useme tu unaficha kwa kismall houz
   
 20. L

  Luluka JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha!duniani kuna mambo jamani!lol
   
Loading...