VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
Brothers ipo hivi:
Mwanamke ukimuelewa na akaanza kukuletea mambo meusi, wala usihangaike.
Downlaod app ya mkopo, kopa tu. Af, namba yake iweke kama mdhamini wako. Deni usilipe. Ataanza kutafutwa yeye. Kuna mawili, akubali mateso, au abadili namba. Na yeye atayahisi maumivu uliyopitia alivokukataa