Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

Kibayolojia, wakati wa urutubishaji (fertilization) wa yai la mama ili kuunda chembe mtoto (zygote), baba huchangia vinasaba (DNA & RNA) halafu vilivyobakia hutoka kwa mama. Ndiyo maana uwezo wa mtoto ktk kupambanua mambo (wengi mnaita akili) wa mtoto hutoka kwa mama kwasabb intelligence is multifactorial .

Sasa, kila kitu kilichomo ndani ya mwili huoneshwa na maumbile ya nje ya mwili.

Mfano:-
1. Ukubwa wa moyo......sawa na ngumi.
2. Upana wa k ....sawa na midomo.
3. Upekee wa DNA ....huoneshwa na fingerprints.
4. Ukubwa wa kichwa cha dushe huoneshwa na kidole gumba.
5. N.k.

Kwahiyo ukitaka kujua kama mtoto aliyezaliwa na mkeo ni WA damu yako ama alichepuka linganisha michoro ya kiganjani kwa mtoto na ile ya kwako. Michoro hii ni kama ilivyo fingerprints, haifanani na ya mtu mwingine.

Mbinu hii imetumika na makungwi kwa karne na karne. Mtoto akizaliwa mabibi au makungwi huitwa kisha hufunua kiganja cha mkono na kuhitimisha kwa kusema "ni damu yetu" ama "siyo damu yetu"

View attachment 2943273
Huu ni Upotoshaji mkubwa sana wenye nia ovu ya kuuchonganisha Umma.
 
Mbinu ninayoijua sema ni ya kiasili ,ni hivi mtoto anapozaliwa unatakiwa kuwatuma watu hawa mama yako ,bibi yako ,shangazi yako, dada mkubwa kweny familia yenu ,waende kumuona mtoto ile siku ya kwanza kabla yako wewe (baba) .

Hao wanajua kabisa hii ni damu ya ndugu yao ila kabla hata wewe kumuona mtoto ,hii mbinu wanyakyusa wanatumia sana sio rahisi kupigwa labda hawa wanaoishi mjini.
 
Hakuna kitu kama hiki we mangi, ushahidi unaoweza kujua huyu ni mtoto wako ni DNA tu.

Unaweza lea mtoto hata wa ndugu zako wa kuzaliwa pamoja kwa kigezo kuwa mnafanana

Pia watu wengi weusi wanafana. Think outside the box
 
Wanamkagua kiasili ,DNA zina viashiria kweny maungo ya nje ,jaribu kufuatilia.
Hujajibu swali langu

Je akiwa mtoto wa ndugu yako?

kipindi cha nyuma uchagani ni kawaida sana watu kula mashemeji zao. Hata baba mkwe ilikuwa rahisi kumla mke wa mwanae kutokana na kuwa watu wengi walikuwa wanaacha wake zao nyumbani

Kiasili sio njia sahihi ya kujua huyu ni mtoto wako wa damu
 
Mbinu ninayoijua sema ni ya kiasili ,ni hivi mtoto anapozaliwa unatakiwa kuwatuma watu hawa mama yako ,bibi yako ,shangazi yako, dada mkubwa kweny familia yenu ,waende kumuona mtoto ile siku ya kwanza kabla yako wewe (baba) .

Hao wanajua kabisa hii ni damu ya ndugu yao ila kabla hata wewe kumuona mtoto ,hii mbinu wanyakyusa wanatumia sana sio rahisi kupigwa labda hawa wanaoishi mjini.
Wanachoangalia ni michoro ya kwenye viganja vya mkono. Hakuna kingine.
 
Hujajibu swali langu

Je akiwa mtoto wa ndugu yako?

kipindi cha nyuma uchagani ni kawaida sana watu kula mashemeji zao. Hata baba mkwe ilikuwa rahisi kumla mke wa mwanae kutokana na kuwa watu wengi walikuwa wanaacha wake zao nyumbani

Kiasili sio njia sahihi ya kujua huyu ni mtoto wako wa damu
Kwamba umepigwa na ndugu yako ? 😅😅 Watu wanajua kuna traits za mtu hazifanani hata kadri mtoto anavyokuwa wanajua tu .
 
Kibayolojia, wakati wa urutubishaji (fertilization) wa yai la mama ili kuunda chembe mtoto (zygote), baba huchangia vinasaba (DNA & RNA) halafu vilivyobakia hutoka kwa mama. Ndiyo maana uwezo wa mtoto ktk kupambanua mambo (wengi mnaita akili) wa mtoto hutoka kwa mama kwasabb intelligence is multifactorial .

Sasa, kila kitu kilichomo ndani ya mwili huoneshwa na maumbile ya nje ya mwili.

Mfano:-
1. Ukubwa wa moyo......sawa na ngumi.
2. Upana wa k ....sawa na midomo.
3. Upekee wa DNA ....huoneshwa na fingerprints.
4. Ukubwa wa kichwa cha dushe huoneshwa na kidole gumba.
5. N.k.

Kwahiyo ukitaka kujua kama mtoto aliyezaliwa na mkeo ni WA damu yako ama alichepuka linganisha michoro ya kiganjani kwa mtoto na ile ya kwako. Michoro hii ni kama ilivyo fingerprints, haifanani na ya mtu mwingine.

Mbinu hii imetumika na makungwi kwa karne na karne. Mtoto akizaliwa mabibi au makungwi huitwa kisha hufunua kiganja cha mkono na kuhitimisha kwa kusema "ni damu yetu" ama "siyo damu yetu"

View attachment 2943273
Kulingana na alama za kiganja chako wewe ni damu yangu kabisa, mama yako anaitwa nani?
 
Kwamba umepigwa na ndugu yako ? 😅😅 Watu wanajua kuna traits za mtu hazifanani hata kadri mtoto anavyokuwa wanajua tu .
Haha sasa wewe unazungumza vitu huku unakataa

Umesema kuwa utafanana na baba yako na utafanana na watoto wako

Je ndugu zako hawatafanana na baba yako wala watoto wake

Je baba zako wadogo na wakubwa hawatafanan na baba yako ?
 
Back
Top Bottom