Mbinu wanazotumia wadada kuchuna buzi mitandaoni

Kua makini tu kutofautisha mwenye uhitaji wa kweli na mchunaji.
Ni kazi Paprika mwenzio nalizwa daily nipe mambinu, Yale international
Mfano yale wewe unawaliziaga vibosile[/QUOTE]
Mi silizagi mtu mkuu!
Moyo wa kuchuna mtu sina, ntamuonea huruma tu... Au kujiona mwizi
 
[QUOTE="mindpower, post: 20206624, member]Jana tu nimechunwa elf90 kizembe, nmeamka nikaamua nipost huu Uzi nisaidiwe mbinu zngne niwe macho mbeleni!
Mbinu huwezi zijua zote! Wengine wanakuja na njia ambazo kiubinadamu ni lazima tu utatoa pesa. Haswa ukiwa unafikiria na kichwa cha chini ndo kabisaaa!!! Unachunwa ki.fa.la.[/QUOTE]
Paprika we noma kumbe kunakufkr na kichwa cha chini!
 
Ndugu wana jf nimezifahamu baadhi ya mbinu wanazotumia wadada kupitia mitandaon kuchuna wanaume na kukomba mshiko wa maana!

1. Tangazo la natafta mme, anajipa na sifa zote pendwa na wanaume.
Hapa anapgaje pesa? Wakishoboka wanaume serious mfano 10, anapesa ndefu kuliko mshahara wa bank teller. Kipnd anawasiliana nao akilia shda ya vocha, ya elf2, wote wakaitikia, 2000*10 sawa na 20elf,

Hivyo anauwakika kukamata 20 elf kila baada siku2,v ocha tu.
Shida ya pesa 30 elf kwa wik, wote wakaitikie, ana lak 3, kwa mwezi million 1.2, na huu ni mfano wa kima cha chini tu, kuna wadada wanamamillion ya pesa za uchumba feki.

2. Picha za mrembo ambaye sio yeye, hapa mwanaume anafunguka balaa mfukoni akijua kapata mrembo wa maisha, kumbe analiwa tu, mwenye pcha marehemu siku nyingi.

3. Kujiweka tajir, mwenye elimu na kaz ya maana! Picha za majumba na magar zinatumika kulza wanaume

Hapa wanaume wengi wanachunwa mpaka basi,
Mfano nipo Barclay's bank, network down, nina shida ya dola mia 400, please nitumie nitakurudishia. Nimepata accident please my dear lak3 nahitaji, hapo mtu kaliwa Tayar

4. Mimi mdada wa kinyarwanda, na picha fek, kapua kamechongoka, wanaume wa kitanzania udenda njenje wanapgwa pesa bila mafanikio ya mchumba.

5 mdada through email, naish UK, mshamba ninampenzi UK, tunachat kwa email, kumbe mtu yupo manzese, anapgwa pesa.

6. Through business, mdada mrembo, mwanaume anamwamini kwa urembo wake akijipa matumain kuna siku mambo atapewa (sex) anatuma pesa mzigo hatumiwi, kalizwa mtu,

7. Usafiri, nauli, mdada akiona upo dar yeye anasema yupo kigoma,
Anapgaje hapa? Baby nitumie nauli nije, lak na nusu
Kumbe na lenyewe lpo dar linajiuza buguruni kapgwa mtu

Hizi ni baadhi ya mbinu ninazozifahamu mimi.
Wanaume tuambiane mbinu zingine tunachunwaje na wa Dada
Wadada tuambieni mbinu mnazotumia kuchuna wanaume tuzijue
Kuna tapeli mmoja alikuwa na mazoa ya kunitumia msg ya mahaba kwenye email yangu. Mi siku take brable nikawa mute, akahamia kwenye messenger akanitumia picha zake ni dada shombe flani hivi wakiarabu atatuma na namba yake ya simu akiomba nimcheck whatsap. Nikaamua ngoja nione mwisho wake nikianza kuchat naye whatsapp. Siku moja ucku akanipiga mzinga wa buku tano eti luku imekata hivyo anataka kununua umeme, nikamwambia anitumie namba ya mita nimnunulie huo umeme Kisha nimtumie nikaona akaingia mutinymitini. Cku nyingine akaja kivingine eti anataka tuonane nikamwambia poa mi nipo mwanza mjini akadai nimtumie nauli ya kutoka gairo hadi mwanza Tshs. 50,000/= nikamwambia poa ntatuma Tsh. 100,000/= ili apate na yakutumia njiani. Tukakubaliana hadi hotel nzuri atakayofikia. Nikawa nampigia sasa simu ili tuongee vzr du! Demu hataki kupokea simu ila sms anajibu na ananitaka tufanye mawasiliano kwa sms only. Nikampigia kwa namba nyingine akapokea ila akawa mjanja akawa anasikiliza kwanza sauti ya nani baadae akakata simu akanitumia sms kuwa simu yake inatatizo kwenye spika hivyo nimtumie msg. Nikamwambia utapeli wake anaoufanya ni wa kizamani sana hawezi kumpata mtu hata mmoja wa kumuingiza mjini. Tena niligundua wala hakuwa ni mdada. Alikuwa ni njemba Lina fanya utapeli likijifanya ni demu
 
Mbinu ya nauli, Simu kufa display, luku , kodi ya nyumba, zinamaliza wanaume!
 
Hizo mbinu zote mimi bado hajanipata mwanamke ambaye simfahamu naanzaje kumtumia pesa, nakama nauli namwambia atumie yakwake akifika nitamrudishia nakaakisema hana namwambia aazime nitairudisha akishafika
 
Umtumie mtu Laki tatu...mtu uliyekutana nae kwenye mitandao na probably hujakutana nae physically? Akili yako itakuwa imekwenda likizo ndefu tena isiyo na malipo.
Ndugu kiu ya mke sio mchezo, watu wanafunguka mifukoni, hasa wale umri unawapa mkono na pesa zipo
 
Ndo mtaji huooo!
Yaani mdada ni rahisi sana kupata hela, ata asipokuomba directly!
Unakuta anakwambia kwa upendo tu!!! Jamani baby, nimefika nyumbani umeme umeisha na sina hela kabisa kwenye simu... Kuna kitu nilitaka tuongee ila tutaongea baadae simu inaisha chaji. Basi apo vidume kama vitano vinatuma elfu 10 ili ununue umeme!!!
Hahahaha!

Mungu anawaona
 
[QUOTE="mindpower, post: 20206624, member]Jana tu nimechunwa elf90 kizembe, nmeamka nikaamua nipost huu Uzi nisaidiwe mbinu zngne niwe macho mbeleni!
Mbinu huwezi zijua zote! Wengine wanakuja na njia ambazo kiubinadamu ni lazima tu utatoa pesa. Haswa ukiwa unafikiria na kichwa cha chini ndo kabisaaa!!! Unachunwa ki.fa.la.[/QUOTE]

Wajinga ndio waliwao...

Huko badoo sasa..
 
Last Time Niko Hapo Chuo. Nilikomoa Mtu. Download Badoo Ukiweka Location Inakuambia Bumped Onto. Nikabump Onto Kama Mara 3 Na Huyo Demu Ubungo. Nikamsebenza Akatiki Ila Nikamuambia Niko ApoApo Ubungo Akasema Niko Arusha Tuma Nauli. I Was Like Oooh Thats Cute But Dumber Also. Nikamuambia Ukweli Na Kumuelewesha About Iyo App Na Izo Bumped Onto Kwamba Ni Lazma Tuwe At The Same Au Atleast Near Places. Likamshuka Shuuu. Kumbe Anasoma Chuo Cha Maji. Bas Baada Ya Kuumbuka Ilimbidi Tu Apande Pale Hall 1 Block Tower 6Th Floor Kuja Kulipia Uongo Wake,She Surrendered.Hakukua Hata Na Haja Ya Hotel Koz Once You Are Dumb You Will Be Treated As A Dumbass You Are.

Now Wakiniambia Niko Wapi Mm Nasema Mwanza Alafu Automatically Atasema Yuko Dar Koz Anajua Atakuambia Nauli Utume Ukimtaka. Then Unakuja Kumwambia Nakuja Dar Kikazi Nafikia Hotelini,Hah Pozi Litamuisha Haki Ya Nani Wengine Hawatokujibu Tena.I Banged Two Of Those,This Way. MAFIA Style.
 
Hahahaaaa!

Ni kwere mkuu
 
Hizo mbinu zote mimi bado hajanipata mwanamke ambaye simfahamu naanzaje kumtumia pesa, nakama nauli namwambia atumie yakwake akifika nitamrudishia nakaakisema hana namwambia aazime nitairudisha akishafika
Hiyo sound ya mkopo kamwe hakuna mwanamke hata moja wakuikubali labda uende mwenyewe! Waulize hata humu jf!
 
Wasenge Sana. Ukimuambia Chukua Bodaboda Anaenda Kumtafta Lijamaa Tu Analipanga Analiambia Mwambie Atume Kwanza Advance 5000 Eti Lijamaa Nalo Linaongea Na Ww Linasema Eti Watu Hawalipagi So Bila Advance Hamleti. Tuma Iyo 5000 Uone.
 
Last Time Niko Hapo Chuo. Nilikomoa Mtu. Download Badoo Ukiweka Location Inakuambia Bumped Onto. Nikabump Onto Kama Mara 3 Na Huyo Demu Ubungo. Nikamsebenza Akatiki Ila Nikamuambia Niko ApoApo Ubungo Akasema Niko Arusha Tuma Nauli. I Was Like Oooh Thats Cute But Dumber Also. Nikamuambia Ukweli Na Kumuelewesha About Iyo App Na Izo Bumped Onto Kwamba Ni Lazma Tuwe At The Same Au Atleast Near Places. Likamshuka Shuuu. Kumbe Anasoma Chuo Cha Maji. Bas Baada Ya Kuumbuka Ilimbidi Tu Apande Pale Hall 1 Block Tower 6Th Floor Kuja Kulipia Uongo Wake,She Surrendered.Hakukua Hata Na Haja Ya Hotel Koz Once You Are Dumb You Will Be Treated As A Dumbass You Are.

Now Wakiniambia Niko Wapi Mm Nasema Mwanza Alafu Automatically Atasema Yuko Dar Koz Anajua Atakuambia Nauli Utume Ukimtaka. Then Unakuja Kumwambia Nakuja Dar Kikazi Nafikia Hotelini,Hah Pozi Litamuisha Haki Ya Nani Wengine Hawatokujibu Tena.I Banged Two Of Those,This Way. MAFIA Style.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom