Mbinu wanazotumia wadada kuchuna buzi mitandaoni

Mbinu wanazotumia wadada kuchuna buzi mitandaoni

Mbinu nyingine ni haya magroup ya whats up.inawekwa picha ya wanawake wazuri wangine unonyeshwa sehemu ya miili yo mizuri,kisha unaambiwa to pesa ujiunge utachat nao pia watakuunganishia ukitaka.
 
Mbinu nyingine ni haya magroup ya whats up.inawekwa picha ya wanawake wazuri wangine unonyeshwa sehemu ya miili yo mizuri,kisha unaambiwa to pesa ujiunge utachat nao pia watakuunganishia ukitaka.
Wanawake wanambinu nyingi, style kama hii utaponaje
 
Pole sana... Ukiendekeza hayo mambo utapigwa kila siku... Ukitulia mbona hayakukuti hayo..
Sio rahs, kama unavijipesa na hajaoa kutulia ni mtihan huo labda uokoke iwe wewe na kanisa!
 
mbinu zako ni za kweli kbsaa hasa iyo ya nauli ndo gear namba moja

oooh ntumie nauli nije..... me situmagi njoo na yakwako ukija ntakurudishia ntakupa na ya kurudi apo lzm apagawe kma ni tapeli ndo nimempata

oooh sina pesa...... kopa ntakurudishia
Hata kama nimewai kula,,, situmi nauli,,,.aje na yake ntamrudishia
 
Kuna moja liliniambia luku imeisha, ni usiku na hana salio M.pesa so akaombe eidha nimnunulie umeme au nimtumie hela anunue mwenyewe,,,,

Nikamwambia usijali halafu nikaipotezea,,,, asubui nakuta missed call nane,,,,.

Nimempigia eti bado anataka nimtumie,,,. Nikamjibu kumeshakucha sasa mama, nenda kanunue umeme..
 
Sio rahs, kama unavijipesa na hajaoa kutulia ni mtihan huo labda uokoke iwe wewe na kanisa!
Hivyo vijipesa viwekeze kwa mwanamke mmoja... Uishi kwa amani... Na kuacha kupigwa kizembe...

Kudanda danda ni tamaa na tabia za mtu tu... Unaweza ukawa na vijipesa na bado ukatuliza akili na uka focus on your future...
 
Nauli kitu gani? Offer kumfuata popote alipo like a real gentleman.
Waweza mfuata huko ukapgwa vzur na hivi umejipeleka mwenyewe, waweza rudi na ndala wakati ulienda na travota ya elf75!
 
Hivyo vijipesa viwekeze kwa mwanamke mmoja... Uishi kwa amani... Na kuacha kupigwa kizembe...

Kudanda danda ni tamaa na tabia za mtu tu... Unaweza ukawa na vijipesa na bado ukatuliza akili na uka focus on your future...
Huyo mwanamke mmoja si ndio tunaemtafuta wanaume ila tunaishia kupgwa tu,
Huu Uzi si ndo umeanzia hapo
 
Back
Top Bottom