Ndo mtaji huooo!Kwanini mnafanya hivyo mkuu au ndo ajira ambazo wanawake wameamua kujiajiri
( )
Sawa mkuu hongera kwa wanawake kujifunza ujasilia Mali mpya kabisa ila kumbuka jasho la mtu haliliwiNdo mtaji huooo!
Yaani mdada ni rahisi sana kupata hela, ata asipokuomba directly!
Unakuta anakwambia kwa upendo tu!!! Jamani baby, nimefika nyumbani umeme umeisha na sina hela kabisa kwenye simu... Kuna kitu nilitaka tuongee ila tutaongea baadae simu inaisha chaji. Basi apo vidume kama vitano vinatuma elfu 10 ili ununue umeme!!!
Tutawaongezea dawa mlale tenaTumestuka
[emoji23]Tutawaongezea dawa mlale tena
Sawa mkuu hongera kwa wanawake kujifunza milia Mali mpya kabisa ila kumbuka jasho la mtu haliliwi
Mbinu huwezi zijua zote! Wengine wanakuja na njia ambazo kiubinadamu ni lazima tu utatoa pesa. Haswa ukiwa unafikiria na kichwa cha chini ndo kabisaaa!!! Unachunwa ki.fa.la.[/QUOTE][QUOTE="mindpower, post: 20206624, member]Jana tu nimechunwa elf90 kizembe, nmeamka nikaamua nipost huu Uzi nisaidiwe mbinu zngne niwe macho mbeleni!
sasa utakuwa uko tayari hata kuliwa "ndogo" / mtandao pendwa..??Ukitaka kula lazima nawewe Uliwe!!
Tafuta kwa akili.. Usipelekwa na mihemuko... Wala ligi..Huyo mwanamke mmoja si ndio tunaemtafuta wanaume ila tunaishia kupgwa tu,
Huu Uzi si ndo umeanzia hapo
Nipen hizo mbinu zote mwanamke akija na mbinu za buz kizembezembe nimchase away faster![/QUOTE]Mbinu huwezi zijua zote! Wengine wanakuja na njia ambazo kiubinadamu ni lazima tu utatoa pesa. Haswa ukiwa unafikiria na kichwa cha chini ndo kabisaaa!!! Unachunwa ki.fa.la.
Kumlea mama ni kazi ya baba mi nikijisikia ndo nasaidia kidogoWanaume na nyie mda mwingine mnakua kama mmelogwaa! Unakuta unamtumia msichana elfu 90 akati upo kwenu mama yako anatumia neti ya mbu ina matobo hatari!!! Au ndala zimebonyea hadi kutoboka mpaka kisigino kinagusa chini.
Muendelee tu kuchunwa kwa kweli!
Kua makini tu kutofautisha mwenye uhitaji wa kweli na mchunaji.[/QUOTE]Nipen hizo mbinu zote mwanamke akija na mbinu za buz kizembezembe nimchase away faster!
hahahhaha umenifurahisha sana mkuuWadau hata mimi jana tu nimepigwa na demu hivyohivyo kimtandao elfu 50 kama nauli, na hakuja, na mwaka jana alinipiga tena kama elfu70, lakini hakutokea,
Lakini huyo demu ni mzuri sana, najitahidi kumpotezea,
Nikiangalia picha zake tu naingia kingi, mpaka ananitumia video clip,
Lakini siku nimemdaka namfungia siku tatu.
Hii mbinu ya nauli naona ni kiboko, inapiga wengiWadau hata mimi jana tu nimepigwa na demu hivyohivyo kimtandao elfu 50 kama nauli, na hakuja, na mwaka jana alinipiga tena kama elfu70, lakini hakutokea,
Lakini huyo demu ni mzuri sana, najitahidi kumpotezea,
Nikiangalia picha zake tu naingia kingi, mpaka ananitumia video clip,
Lakini siku nimemdaka namfungia siku tatu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] unamjibu No! Usiniambie [emoji13]utasikia, bby nikwambie kitu,
..Mfano nipo Barclay's bank, network down, nina shida ya dola mia 400, please nitumie nitakurudishia. Nimepata accident please my dear lak3 nahitaji, hapo mtu kaliwa Tayari..