Mbinu wanazotumia wadada kuchuna buzi mitandaoni

Mbinu wanazotumia wadada kuchuna buzi mitandaoni

Mbinu zote hizo, mimi naona mpumbavu ni mwanaume tu, Unaanzeje Kutoa hela ndefu Namna hiyo bila Kumuona mtu uso kwa uso, Haya ndiyo madhara ya mtu kuweka imani kwenye Picha, bila Kuonana na mhusika, Sikatai, Ni kweli ULaghai Upo, Lakini Mwingine Ni Wa Kijinga sana, yaani Kwenye Picha tu, mtu Unanyofolewa hele zote!!!
Sasa unakuta umechat nae mda mrefu na umemzoea kama ndugu yako, mapenzi motomoto kwa njia ya simu,
Siku anatengeza tatizo kisomi unatoboka mfukoni mpaka unanganikiwa
Tupeni mbinu tuzijue msilaumu sana
 
Sasa unakuta umechat nae mda mrefu na umemzoea kama ndugu yako, mapenzi motomoto kwa njia ya simu,
Siku anatengeza tatizo kisomi unatoboka mfukoni mpaka unanganikiwa
Tupeni mbinu tuzijue msilaumu sana
Unajua watu wanachonga sana sababu hayajawakuta,wakiingizwa kingi na mwanamke watarudi hapa kuanzisha uzi.Mwanamke akijipanga na akikudhamiria,ung'atuki kwenye mtego.
Mi nishatumiwa mapicha ya ajabu ajabu na demu tena nishawahi kukutana nae.Ghafla akaacha nauliza anasema simu imeharibika,na anatumia simu ya mama ake hawezi kutuma tena picha,hapa nilipo nadaiwa simu! Tena ya maana kaahidi kunirecodia kabisa nikimpatia,nanusa kutapeliwa na namkimbia lakin kila nikikumbuka vile vipicha akili inazunguka.
 
Kuna moja liliniambia luku imeisha, ni usiku na hana salio M.pesa so akaombe eidha nimnunulie umeme au nimtumie hela anunue mwenyewe,,,,

Nikamwambia usijali halafu nikaipotezea,,,, asubui nakuta missed call nane,,,,.

Nimempigia eti bado anataka nimtumie,,,. Nikamjibu kumeshakucha sasa mama, nenda kanunue umeme..
Dah hawa viumbe si mchezo
 
Unajua watu wanachonga sana sababu hayajawakuta,wakiingizwa kingi na mwanamke watarudi hapa kuanzisha uzi.Mwanamke akijipanga na akikudhamiria,ung'atuki kwenye mtego.
Mi nishatumiwa mapicha ya ajabu ajabu na demu tena nishawahi kukutana nae.Ghafla akaacha nauliza anasema simu imeharibika,na anatumia simu ya mama ake hawezi kutuma tena picha,hapa nilipo nadaiwa simu! Tena ya maana kaahidi kunirecodia kabisa nikimpatia,nanusa kutapeliwa na namkimbia lakin kila nikikumbuka vile vipicha akili inazunguka.
Kama ukwel flani hapo kuna kaharufu cha kupigwa mtu! Kuwa risk taker ndugu
Mm nilchat WhatsApp na mchumba toka hum jf wk moja tu, smart phone yake ikafa display,
Nikatwshwa mzinga wa lak, nikakmbiza ubawa, uhusiano ikafa ghafla
Nikahoj kumbe huu uchumba ulkuwa wa money for display repair tu
Inachekesha
 
Pole Ya Nn. Mimi Wala Co Muhanga. Niligutuka Mapema. Pia Ukiwa Mkinga Lazma Kuna Kaubahili Unakua Nako So Huwezi Anza Tu Kutoa Ela Bila Kufanya Annual General Meeting Na Kujua Hapa Nitaprofit Vipi
mkuu upo kama mimi maana mimi ni mkinga juzi kuna demu namchek kwenye simu namwambia aje ghetto anasema nimtumie hela akaset nywele ndio aje nikamwambie aje ivo ivo sijampendea nywele akanipotezea
 
Wanaume na nyie mda mwingine mnakua kama mmelogwaa! Unakuta unamtumia msichana elfu 90 akati upo kwenu mama yako anatumia neti ya mbu ina matobo hatari!!! Au ndala zimebonyea hadi kutoboka mpaka kisigino kinagusa chini.
Muendelee tu kuchunwa kwa kweli!
Mme wa mama si yupo na anamtunza
Kwani baba yeye hajui majukumu yake
Acha tuliwe mwsho wa siku tuwapeleke mkamwana!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu sio kwamba hili ndo chimbo lao la kupata maujanja zaidi ya kuwatapeli wanaume ambao hawapo humu?!
[emoji23] [emoji23] Inawezekana wengi wanaoingizwa mjini hawapo humu jf maana wangekuwa wameisha stuka.....
 
kumbe ndio mnavyofanyiwa [emoji23][emoji23] wajinga hawaishi
 
Huu mchezo wa kula na kuliwa
Hauhtaj hasra
Ukiliwa unajfunzi iliotumika kutafunwa
Ukila unaimarsha mbinu uendelee kutafuna siku ukbabwa na wewe unatafunwa kisawasawa!
 
Back
Top Bottom