Mbinu wanayoitumia St. Francis kufaulu mitihani

Mbinu wanayoitumia St. Francis kufaulu mitihani

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,673
1003457_10152049134229502_1089839362_n.jpg
 

Katika watu ninaowaheshimu humu JF ni Bujibuji, lakini leo unaanza kunipa mashaka! Bujibuji please do not ruin your JF credibility, wacha wengine waseme , walete picha kama hizo! It is inconceivable ST Francis wanaweza tumia ujanja ujanja for all those years of success!
 
Yamesemwa hata kwa Marian Girls, sasa jamani na Boys nao wanatumia ujanja ujanja! Hata Feza Boys, Girls jamani! Tuwe wakweli!
 
Hiyo Senti Fransisi ya Ufaransa au Italia?

Kama ni hii ya Tanzania basi weye una wivu wa kike mpaka unadanganya wazi
 
Maisha ni mbinu...bila mbinu hufiki popote.
Kila stage yahitaji mbinu kuipita...kama mbinu yako inafanikiwa basi BIG UPPPPPP!!!!
 
Hii mbinu nimeiona hivi juzi tu,tulipokua tunafanya UE pale UOA,wadada hawana hata aibu,duuh!
 
Huko ni kuharibu jina la shule ya wenyewe. UNA USHAHIDI WA KUTOSHA?
 
Back
Top Bottom