Mbinu rahisi ya kulinda mzigo wako

Mbinu rahisi ya kulinda mzigo wako

Unaanzaje kuwa na wivu na mchepuko ....
 
Mchepuko tu unamfuatilia hivyo? Huyo mke si utamuekea walinzi kabisa!! Inaelekea ujiamin, mwanaume anaejiamini hawezi fanya yote hayo kwani kuwa na uhusiano na mtu ni lazima?
 
mkuu chakii sio tangazo hili.nimejaribu kushare nanyi kaujuzi nilikokapata ili na nyinyi muweze kila viburudisho vyenu kisayansi zaidi bila kushtukiwa chochote......
asije kukuambia ana mimba wakati whatsapp tarehe hiyo hiyo alitumiwa sms ya asante na njemba.kwa kutumia mbinu hii unamuuliza tu hivi ulivyoingiziwa na njemba fulani ulitumia condom?anabaki kushangaa tu umejuaje
Pumbav,imenibidi nilog out kwenye pc yangu!Nilikuwa namwinda sana mpnz wangu,na yeye najua anaingia JF!sasa nilimfanyia huo mchezo,sasa anaweza kugundua why nilikuwa one step ahead of her,umeniharibia!
Sasa umemwaga mboga nami ngoja nimwage ugali!
Kama kuna yeyote anahisi anaweza fanyiwa hivi na mpnz wake basi awe anaangalia whatsapp web kwenye whatsapp app yake mara kwa mara,ukikuta kitu kama "currently connected to ......." basi fasta deactivate hapo hapo!Ujue kuna mtu ameclone whatsapp yako na ana full access nayo,ukideactivate basi unakuoa umemuondoa!Mpaka arudi tena ashike simu yako ndio anaweza tena kufanya hivyo!
Suluhisho ni kuwa kila ukikutana na mpnz wako hakikisha wakati unaondoka umecheki whatsapp yako kama ameiunganisha na pc!Hivyo tu
 
mkuu mada nyengine huwe unavunga tu usiweke mada kama hizi tena shemeji yako yumo humu anapita kama guest tuu not a member kwa mfano akapita akasoma huu Uzi wako akaitumia hii njia against me si utakuwa umeniletea majanga tafadhali embu nione huruma mwanaume mwenzio embu niachee niishi na michepuko yangu kwa amani
Kweli kabisa haya mambo yanatakiwa kufanyika manually, ila kwa njia hii wengi watakamatwa
 
Mtu mzima huwa halindwi, nasema tena halindwi.
 
Hizo takataka ni kupiga chini na kuchukua nyingine... We unahangaika wao wanachukulia poa.
bb0fb3900bc094eba2f21ccf999b35a1.jpg
 
Utaishije kwa Amani akikupa Ukimwi?
Kwanz uwe unatumia condom ukiona kabadilika coz sio ukimwi tu hata kisonono(STD's) na huu ugonjwa nasikia umekuwa sugu hausiki dawa..hata mimba za kusingiziwa
Play safe usiwe dhaifu juu ya hivi viumbe fanya mambo yako one day utapata mkali kuliko yeye na wanawake wako weng sana asikumize kichwa..
Kinachotakiwa ni kuwa patient usikurupuke kuwtafta hawa she..
 
Haujui chochote bora unyamaze wewe pita kimya kimya..
Kuhack android phone ni simple sana unadhani utapa hayo mautindu google au Wikipedia..
Nenda kasurvey deep web kwenye onion sites..kuna mpaka hacker wa kuhire mwambie unataka nin kweny computer au simu ya mtu..
Hackers hawajitangazi hovyo hao ni newbie hata programing code hajui
Kweli bro mi natumia internet cafe ulijuaje lakini ndo hvo swez kukubali kuona script kiddie ka ww ambaye anasoma blogs za hacking anaiba terminologies mbili tatu alf anakuja jitangaza.Eti natumia kali Linux nikijua ip address yako ndo kla kitu ahahaha bro acha hzo bwana akati wenzako huwa wanatenegeneza Trojan atumie ip ahahah eti dark web onion sites hahaha utawajua tu wanaomeza terms alf wanakuja ropoka ovyo haahah eti ntawa contact hackers hahaha bro acha kusoma blogs za hacking na kuiba terms cdhan hata ka Linux unaijwa wewe kasoro Ubuntu tu
 
Sasa ukifanya ivo utaishi na nani dunia hii.. Labda mpewe malaika
 
Iyo sio mbinu ya kulinda bali ya kuangamiza,.. Wanaume kumi wa umu wenye ndoa fanyeni ivo halafu mtupe ripot n wangapi wanaendelea na ndoa zao kwa furaha
 
Kweli bro mi natumia internet cafe ulijuaje lakini ndo hvo swez kukubali kuona script kiddie ka ww ambaye anasoma blogs za hacking anaiba terminologies mbili tatu alf anakuja jitangaza.Eti natumia kali Linux nikijua ip address yako ndo kla kitu ahahaha bro acha hzo bwana akati wenzako huwa wanatenegeneza Trojan atumie ip ahahah eti dark web onion sites hahaha utawajua tu wanaomeza terms alf wanakuja ropoka ovyo haahah eti ntawa contact hackers hahaha bro acha kusoma blogs za hacking na kuiba terms cdhan hata ka Linux unaijwa wewe kasoro Ubuntu tu
Nilifanikiwa kufanya hii kazi kwa mikono yang mwenyew hata kama nilisoma kweny blog but nilifanikiwa na sio mara moja..wewe unataka nikuelekeze hiyo njia ndio maana nikasema nilitumia Kali linux kama wew umeshindwa kajaribu tena
Na ni lazima ucreate trojan Apk then umtumie mtu(email,ads) akisha install ndipo utakapo pata Ip Address yake ili umonitor..
Kila mtu ana njia yake so usitake kumwaga mchele kweny kuku wengi..
 
aya mi nakupa ip address yangu nina dummy phone huwa siitumiu kufanaya lolote nimesave ma file ma tatu naomba u hack basi expert alf u ya post humu humu ndani ili tuone huo u mahiri wako maana maneno yashaanza kuwa mengi
 
Nilifanikiwa kufanya hii kazi kwa mikono yang mwenyew hata kama nilisoma kweny blog but nilifanikiwa na sio mara moja..wewe unataka nikuelekeze hiyo njia ndio maana nikasema nilitumia Kali linux kama wew umeshindwa kajaribu tena
Na ni lazima ucreate trojan Apk then umtumie mtu(email,ads) akisha install ndipo utakapo pata Ip Address yake ili umonitor..
Kila mtu ana njia yake so usitake kumwaga mchele kweny kuku wengi..
kama ukiona na ipaddress haitoshi niambie nikupe hadi mac address android nimeweka KitKat usije ukatafta kisingizio kuwa ilikuwa version ngumu.
 
Back
Top Bottom