Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,773
- 4,341
Mkuu hebu toa maelezo kwa ufupi sijakusoma fresh. Weka procedure vizuriHELLO WANA MMU
kwa zaidi ya siku mbili tatu nimekuwa nawaza sana mara baada ya mmoja wa michepuko yangu hapa chuoni kunibadilikia ghafla bila sababu yoyote ya msingi.nilikuwa na mtext hajibu text zangu kabisa.nikiwa naye karibu namwona anachati sana tu..nikawa najiuliza voda ndo wana tatizo la nertwork ama??nikaaamua kuvunga...jioni nikamtext whatsapp nako nkaona tikk mbili zablue kwenye text moja tu kati ya nyingi nilizomtumia nikimuuliza kwanin amebadilika....nkasemalabda anatumia gb whatsapp coz inaweza kuhide zile tick....sasa leo nikiwa naye nikamuuliza kwanini umetolewa kwa group la programme yenu utapataje habari...akaniambia oooh mimi admin alinitoa with no any reason...basi kwa vile mimi ni admin nikataka kumuunganisha tena...nashangaa inagoma nkasema labda nertwork....hapo hapo wazo likaja kuwa huyu binti wa kihaya ameshapewa akili kuwa ukiona boy anakusumbua mblock...nikataka kumuuliza na kofi hapo hapo bahati nzuri nikakumbuka mwanamke hapigwi...nikasema huyu dawa yake ni ndogo tu...
baada ya kuumiza kichwa nimepata ufumbuzi ambao utanipa kabisa haki ya kumlipizia kisasi huu mchepuko wangu
mbinu pekee ya ku access whatsapp katika computer ni kwa kutumia whatsapp web.hii ni website ni kitendo cha ku google tu kisha unascan QR code kwa kutumia QR SCANNER iliyoko ndani ya whatsapp yako katika simu.inapatikana palepale unakotumia kubadilishi status,setting and profile pameandikwa WHATSAPP WEB..ukiclick hapo tu itakuja kama camera hivi then utaelekezea kwenye pc screen kwenye ile QR CODE.ndan ya sekunde whatsapp yake itahamia kwa pc ako..wala hatojua chochote kama una access ya kuingia whtapp yake bila kizuizi chochote na unaweza kufanya chochote hata kutukana mtu anayemsumbua au kubadili profile pc ake....kitakachomfanya ashtuke labda ni pale atakapokuwa anakuta sms zote zimesomwa tu....akikuuliza mwaambie labda ni nertwork tu...au version mpya ya whatsapp ina tatizo(kwa wakaka tu)sasa turejee kwangu baada ya kufanya hivyo nimepata acess ya kuingia whatsapp yake bila mbwembwe yoyote na nko naye hapa nnachokisoma huku nabaki nacheka tu kwa maana NIMEAMINI LEO WADADA WA AKILI AMBAZO WAO WANAZIJUA WENYEWE.....
hii mbinu ni maalumu kwa wale wenye roho ngumu tu....
kama unajua huwezi kuhimili utakachokikuta huko kwa whatsapp za wapenzi wenu temaneni na hii mbinu kabisa
N.B
KUGEGEDEWA MKE KUNAUMA SANA
(mbinu hii ni maalumu kwa men only😛😛)
wadada mbinu yenu ya kutukamata itakujia hivi karibuni