Mbinu rahisi ya kulinda mzigo wako

Mbinu rahisi ya kulinda mzigo wako

Kuna nanma ya kubaini location ya anayekupigia simu?
 
Ndo mana siku izi vijana wadogo wanakufa mapema kumbe mnajitengenezea wenyewe sumu ambayo inawamaliza kidogo kidogo.Wahenga walishasema ukimchunguza Sana bata...........
 
Kuna nanma ya kubaini location ya anayekupigia simu?
Ndiyo njia ya kwanza ni akipiga unamuuliza alipo na kumuamini atakachokujibu.

Njia ya pili kutegemea simu anayokutumia inaweza kua ni kuenable location na find my phone katika simu ya mhusika hivyo kujua simu ilipo au kutumia third party softwares/ app.
 
Sijasoma comment zote kama Kuna mtu amekurekebisha au LA ila jambo naloweza kukwambia whatsapp by Web unayoisema naye akiwa smart zaidi yako kama unasema naye ni msomi wote mko chuo,akizima data za simu yake tu kwako kwishney husomi kipya chochote so jua kuwa data za simu yake zinapaswa kuwa on Muda wote unafanya udukuzi wako.

Ila so far hongera kwa udukuzi ulioufanya mpaka sasa japo ninachoweza kukuambia tu ni kuwa soon utaanza kula zile dawa za kutumia maisha yako yote za pressure maana umejitakia mwenyewe.
Humuamini mwanamke jichunguze ukiona ni tamaa zake chapa lapa tafuta kichwa kingine.
 
Ndiyo njia ya kwanza ni akipiga unamuuliza alipo na kumuamini atakachokujibu.

Njia ya pili kutegemea simu anayokutumia inaweza kua ni kuenable location na find my phone katika simu ya mhusika hivyo kujua simu ilipo au kutumia third party softwares/ app.
Ushauri mzuri Thanx
Nisaidie Nina LA App mojawao
 
Alafu hiyo mbinu yako ya whatsapp ni rahis kudakwa na mwenywe..
Huwa natumia Kali linux kupata nachotaka nipate IP address yako tu bac
Contract
Photos
Sms
Email
Browser activities
Logs zote
Face Capture front camera na back
Geo Location
Social media username password
Erase data zote za simu internal to external storage
Block any simcard
All in all everything..

Mkuu kwanini usi share hayo maujanja na sisi wengine ili tulinde vyema hizi usingizi zetu
 
Hii kitu ya ku hack mawasiliano ya mtu unayemlala ni aina flani hivi ya burudani...kwa huyu tu nimecheka sana kwa niliyokuwa nayasoma humo ndani...yaani nimekuta sms zingine mpaka ninamwangalia simmalizi kabisa
 
mkuu mada nyengine huwe unavunga tu usiweke mada kama hizi tena shemeji yako yumo humu anapita kama guest tuu not a member kwa mfano akapita akasoma huu Uzi wako akaitumia hii njia against me si utakuwa umeniletea majanga tafadhali embu nione huruma mwanaume mwenzio embu niachee niishi na michepuko yangu kwa amani
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Yote hayo ya nini sasa, kama unaona hakufai we muache aendeee
Nitakuacha vipi kwa mfano?,nakupenda kufa na sioni wala sisikii kwa urembo wako na pia mambo ya kunako unayaweza ile mbaya,unajituma siku ingine mpaka napata fracture ya nanihii yangu,nikipona unanipa maraha na kuikatikia mpaka nakwambia baby ivunje tena aaah oooh baby aaaah ivunje nione raha na sio maumivu,aaaah ooohhh vunja baby nipate utamu sio maunivu ooooh shhhhhhhhhiiiiit,,.,.,...sasa niambie hapo naweza vipi kukuacha?,.,.,.,hata kama nakufumania live baby,ni ngumu kukuacha,au labda nikajinyonge kwenye mti wa mpapayu baby.
 
Hua siishiki simu yake ila Sasa nakushangaa wewe unaetafuta ladha ya sumu
 
Si kitu cha kuelezea tu nimetoa hint
Huu ni udukuzi..
I am interested japo si kwa kudukua simu za wanawake... unatumia application gani kwenye kali linux? Maana mie mwenyew ninayo... na how does it work? Unahitaji IP address ya Simu ama aina ya simu anayotumia? Na je unatumia Commands au ni built in application? Njoo PM kama hutaki iwe public... kushare ujuzi si jambo baya
 
Alafu kila siku tunasema humu mkiweka mada za ukakasi na umbea umbea kama hizi muwe mnaweka na jinsia zenu.

Haya we mtu ni Jinsia gani?!
 
Wakati dunia ikihangaika kutafuta tiba ya magonjwa ya moyo na shinikizo la damu...
Kuna watu wapo Tanzania wanayasaka magonjwa hayo kwa nguvu na akili kubwa.....

Mungu tuhurumie....

Dunia Uwanja wa Fujo
 
HELLO WANA MMU
kwa zaidi ya siku mbili tatu nimekuwa nawaza sana mara baada ya mmoja wa michepuko yangu hapa chuoni kunibadilikia ghafla bila sababu yoyote ya msingi.nilikuwa na mtext hajibu text zangu kabisa.nikiwa naye karibu namwona anachati sana tu..nikawa najiuliza voda ndo wana tatizo la nertwork ama??nikaaamua kuvunga...jioni nikamtext whatsapp nako nkaona tikk mbili zablue kwenye text moja tu kati ya nyingi nilizomtumia nikimuuliza kwanin amebadilika....nkasemalabda anatumia gb whatsapp coz inaweza kuhide zile tick....sasa leo nikiwa naye nikamuuliza kwanini umetolewa kwa group la programme yenu utapataje habari...akaniambia oooh mimi admin alinitoa with no any reason...basi kwa vile mimi ni admin nikataka kumuunganisha tena...nashangaa inagoma nkasema labda nertwork....hapo hapo wazo likaja kuwa huyu binti wa kihaya ameshapewa akili kuwa ukiona boy anakusumbua mblock...nikataka kumuuliza na kofi hapo hapo bahati nzuri nikakumbuka mwanamke hapigwi...nikasema huyu dawa yake ni ndogo tu...
baada ya kuumiza kichwa nimepata ufumbuzi ambao utanipa kabisa haki ya kumlipizia kisasi huu mchepuko wangu
mbinu pekee ya ku access whatsapp katika computer ni kwa kutumia whatsapp web.hii ni website ni kitendo cha ku google tu kisha unascan QR code kwa kutumia QR SCANNER iliyoko ndani ya whatsapp yako katika simu.inapatikana palepale unakotumia kubadilishi status,setting and profile pameandikwa WHATSAPP WEB..ukiclick hapo tu itakuja kama camera hivi then utaelekezea kwenye pc screen kwenye ile QR CODE.ndan ya sekunde whatsapp yake itahamia kwa pc ako..wala hatojua chochote kama una access ya kuingia whtapp yake bila kizuizi chochote na unaweza kufanya chochote hata kutukana mtu anayemsumbua au kubadili profile pc ake....kitakachomfanya ashtuke labda ni pale atakapokuwa anakuta sms zote zimesomwa tu....akikuuliza mwaambie labda ni nertwork tu...au version mpya ya whatsapp ina tatizo(kwa wakaka tu)sasa turejee kwangu baada ya kufanya hivyo nimepata acess ya kuingia whatsapp yake bila mbwembwe yoyote na nko naye hapa nnachokisoma huku nabaki nacheka tu kwa maana NIMEAMINI LEO WADADA WA AKILI AMBAZO WAO WANAZIJUA WENYEWE.....

hii mbinu ni maalumu kwa wale wenye roho ngumu tu....
kama unajua huwezi kuhimili utakachokikuta huko kwa whatsapp za wapenzi wenu temaneni na hii mbinu kabisa

N.B
KUGEGEDEWA MKE KUNAUMA SANA
(mbinu hii ni maalumu kwa men only😛😛)
wadada mbinu yenu ya kutukamata itakujia hivi karibuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kujitafutia pressure tu ya nin hiyo
 
Mhh hebu leo nami nijitafutie pressure kwa hili mchepuko sugu langu!
Lakinu roho inadunda kama nini inaelekea ninahofu na nitakachogundua!
 
Back
Top Bottom