Choir Master
Member
- Feb 8, 2015
- 16
- 5
hahaha!!!!
We all know the genesis of this thread. But that doesn't justify a thing about this tacticMkuu uzi huu unatokana na nyuzi za malalmiko ya wakak kuwa unamsalimia binti asubuhi(salam hii ni ile yenye walakini),jion anakupiga kizinga....
Naona unajitetea kwa kutumia uongo. Keep it up.Ha haa, nacheka si kama mazuri, hivi karibuni humu jukwaani kumekuwa na nyuzi za malalamiko kuwa unamtongoza dada asubuhi, jioni anakupiga kizinga.
Je, Wanaume mmewahi kujiuliza kwanini?
Ngoja niwape siri, wadada wengi wamekuwa waelewa na kama wenyewe mnavyodai akiomba pesa anakukata stimu mjue ipo mbinu tunaijua.
Kwa hiyo njia rahisi siku hizi ya kupoteza maboya kwa mtu usiyemtaka ni kumpiga kizinga ili aleft in peace.
Wadada wanajua kuwa akikuomba pesa na kwa maisha ya sasa lazima utajikataa na hivyo kumpunguzia bugudha ya kujibu text na courtship za kujilazimisha.
Ndio njia mupya ya kumkataa mwanaume ambaye hasomeki /hajiongezi /king'ang'anizi.
![]()
![]()
![]()
Kweli kabisaa.... Braza.Hahaha usharp wako tu.
At some point ukitongoza tongoza sana women find u broke (u seem desperate). Just be a gentleman, upto standards, mkarimu na kuwa mcheshi (ukiwa mropokaji unafeli). Utawala utawaacha mwenyewe.
Dem ataanza vp kukupiga mizinga mikubwa kiboya boya hvyo (anakutema kiaina). It just dnt make sense. Maisha yenyewe haya.
Ndio pale watu wanadata wanaona msela hana kitu lakini anapendwa na totoz tu na kuwapiga kisela, on the side huku msela analia lia kweli. Lol
Okey!....kumbe tunaenda sawa...Mi nimeshaacha bro
Kweli kabisaa.... Braza.
You act gentle, play smart, hii mambo hii unaweza kutana na girl anabwana Yake kabisaa alafu una mla kisela.
Hamna sababu ya kulia lia na mengineyo....!
Vipi ukipiga mzinga akikubali kukupa na wewe ndio itakuwa ushampa hivyo?!!!Kwa hiyo njia rahisi siku hizi ya kupoteza maboya kwa mtu usiyemtaka ni kumpiga kizinga ili aleft in peace.
Uko sawa kaboom ..nimekuelewaYeah..Hiyo inatokea..Lakini kuna wengine msichana hakikubali haraka bila usumbufu anakuwa na wasiwasi..Anamuona kama ni mwepesi kutongozeka..Anahisi hata akiwa nae hatakuwa wake peke yake..Ndo mana hata wasichana nao wanakuwa wasumbufu sometimes kutokana na sababu hiyo..So ukipewa jibu hilo na kusepa anaona haukuwa serious
khaaaa!!!,kwa hiyo Ngosha ameathiri hadi Utongozaji wa wanaume kwa wanawake???,sasa hali ikiendelea kuwa hivyo wanawake watakaa tu kwenye mstari,watabana weeee mwisho wataachia.Zama izi za kutumbua adi vipele,wahongaji wamelala mbele...hawataki kutumbuliwa....so it's a win win situation
Endelea kubaki na mawazo hayo hayo....Bila pesa hupati demu wa maana
mpe K mnato iyo..acha kubana..wakati kishaanza kutoa utomvu kikimfikiria jiranihahaha ngoja niiaply kwa huyu jirani yangu,.