Mbinu mpya ya kukataa mwanaume

Mbinu mpya ya kukataa mwanaume

Play and act smart....umenikumbusha enzi hizoo...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Hahaha usharp wako tu.

At some point ukitongoza tongoza sana women find u broke (u seem desperate). Just be a gentleman, upto standards, mkarimu na kuwa mcheshi (ukiwa mropokaji unafeli). Utawala utawaacha mwenyewe.

Dem ataanza vp kukupiga mizinga mikubwa kiboya boya hvyo (anakutema kiaina). It just dnt make sense. Maisha yenyewe haya.

Ndio pale watu wanadata wanaona msela hana kitu lakini anapendwa na totoz tu na kuwapiga kisela, on the side huku msela analia lia kweli. Lol
 
Yeah..Hiyo inatokea..Lakini kuna wengine msichana hakikubali haraka bila usumbufu anakuwa na wasiwasi..Anamuona kama ni mwepesi kutongozeka..Anahisi hata akiwa nae hatakuwa wake peke yake..Ndo mana hata wasichana nao wanakuwa wasumbufu sometimes kutokana na sababu hiyo..So ukipewa jibu hilo na kusepa anaona haukuwa serious
Mimi ni mtu mzima....nimeshatongoza wanawake wengi sana tangu kubalehe kwangu.....mwanamke akiwa hataki unaweza kuona na akiwa anatana unaweza kuona....kuna mwanamke akikuambia hataki huwa anamaanisha kuanzia mwili na roho pia....
 
Hahaha mpwa nakusalimia tu
 
hongereni sana na sisi tuna mbinu nyingi za kuwapata
 
Mibahili itaisoma no! Wenye kujitambua watakula watakacho shauri yenu mibahili!

Wengine wanajiliwaza ebu nisubiri akue atajitambua atanipa bureeee!

Akuu wakati unasubiri maembe yaive ule wajanja wanakula machanga na chumvi.
 
Hatari sana kuna uwezekano mkubwa kwa mada hii nikawa naongoza kwa kupigwa chini na totoz
 
Mimi ni mtu mzima....nimeshatongoza wanawake wengi sana tangu kubalehe kwangu.....mwanamke akiwa hataki unaweza kuona na akiwa anatana unaweza kuona....kuna mwanamke akikuambia hataki huwa anamaanisha kuanzia mwili na roho pia....

U nailed it Chief.

Kwa sisi huko nyuma kwa namna moja au nyingine tulio learn the hard way ile hasira ya dem kukukataa cz u wer a junior at the time, tukai channel into working hard.

Trust me. The best revenge is Success alaf ukishafanikiwa unakua na dharau mbaya kwa yule aliye ku dismiss in the past. Been there done that.
 
U nailed it Chief.

Kwa sisi huko nyuma kwa namna moja au nyingine tulio learn the hard way ile hasira tukai channel into working hard.

Trust me. The best revenge is Success alaf ukishafanikiwa unakua na dharau mbaya kwa yule aliye ku dismiss in the past. Been there done that.
Thumb up....
 
To Me I call it, a childish game.. If you don't want someone just tell them the truth why wasting the time .. Huku ni kutojiaamini and not sure for what she is about to say.. Thanks..
Also, the tactic seems to have some sort of controversy. A decent and confident person won't resort to a dumb tactic like this, instead, she will spill the beans right in your face.

The controversy is, a person who uses this tactic, may as well mean it, that should you send them money, they are certainly gonna be back for more in the future, forgetting that the purpose of this tactic was to scare off the troublesome person. They may find it entertaining ( receiving cash now and then )

THE TACTIC QUESTIONS THE USER, WHETHER SHE WAS PRESENTED WITH A MORAL COMPASS OR WHETHER SHE KNOWS THE RIGHT THING OR NOT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom