Mbinu mpya ya kukataa mwanaume

Mbinu mpya ya kukataa mwanaume

Mmmmhhhh!!!!,mbona wanawake mpo wengi sana,kwa hiyo ukinipiga mzinga na mimi ninakupiga chini na kuangalia upande mwingine.
Zama izi za kutumbua adi vipele,wahongaji wamelala mbele...hawataki kutumbuliwa....so it's a win win situation
 
Bado vijana wapo na fikra za kwenye zama za mawe kwenye wakati huu wa sayansi ya teknolojia....
Mimi wote waliowahi kunikataa waliniambia LIVE kuwa KikulachoChako sikutaki kwa sababu hunivutii...na mimi bila ya kupoteza napangusa makalio nachapa lapa.....
KikulachoChako si wote wana uelewa,na kama uzi unavyosema this method isn't applicable kwa woote,Ila kina nanii,waliostuka it's the best option kumtimua mtu.
 
To Me I call it, a childish game.. If you don't want someone just tell them the truth why wasting the time .. Huku ni kutojiaamini and not sure for what she is about to say.. Thanks..
Mkuu uzi huu unatokana na nyuzi za malalmiko ya wakak kuwa unamsalimia binti asubuhi(salam hii ni ile yenye walakini),jion anakupiga kizinga....
 
Bongo muvi mpaka huku wapo?Huko instagram unafollowers k ngap?
 
Siku hizi mkipewa hela mnawaaacha vijana wanakula chungwa mpaka chenzaaaa
 
Nshawaambia watu mara kibao...dem ukimtongoza au kum chase around una haribu....ww andaa mazingira au jiweke in a certain way akuone you are the big prize to be won...watakuja tu, then chombeza kidogo akiingia kingi una tafuna.

Sasa jinsi ya kujiweka au kujinadi in a smart way ni usharp na ubunifu wako tu. Ila on my case i dnt use much energy acting that way cz i am living that way (ndio nko hvyo) nachombeza wakishoboka natafuna.

Ila angalieni sana na wanawake wa kugonga...wengine ma scraper usije kwaa miwaya (Play it Smart, Play it Safe).
 
Nina mda mrefu kweli sijapigwa kizinga mpaka nimesahau wanaanzaje, hebu nikumbushie kidogo au mpaka nikutongoze?
 
Nshawaambia watu mara kibao...dem ukimtongoza au kum chase around una haribu....ww andaa mazingira au jiweke in a certain way akuone you are the big prize to be won...watakuja tu, then chombeza kidogo akiingia kingi una tafuna.

Sasa jinsi ya kujiweka au kujinadi in a smart way ni usharp na ubunifu wako tu. Ila on my case i dnt use much energy acting that way cz i am living that way (ndio nko hvyo) nachombeza wakishoboka natafuna.

Ila angalieni sana. na wanawake wa kugonga...wengine ma scraper usije kwaa miwaya (Play it Smart, Play it Safe).
Mkuu uko vizuri sana
 
Mkuu uko vizuri sana

Experience kibaba hahaha nshapigwa mizinga huko miaka ya nyuma nkaona ufal.a.

Nlivyo anza piga mzigo na kuishi na wajanja thats when i took my game to the next level.

One thing about these women they are all secret hunters....sasa na wewe uki hunt pia una generate this like energy wit them lazma mta repel tu. Sasa we wacha wa hunt, we cheza kama ndio mnofu wa kuku wenyewe. Hahaha
 
Mi wanaume akiniahmbia namwambia uke wangu kila siku unaongezeka ukubwa,nipeleke jospitali....utaona huyooo kasepa.
 
Teh teh..Hauna zile za kufosi kingi?..
Si ndio hapo....kama ukikataliwa Mara moja unapangusa kalio na kusepa... Naona utawapata wale warahisi tuu....kuna watu paka uwa force...ndio wanakuwa happy na na kujiridhisha kwamba they are loved and valued....
 
Hiyo ni kweli mkuu me ndi zangu tokea mwaka uanze sihitaji population kabisa nakupiga kizinga cha maana najua kabisa huna uwezo Wa kutoa hiyo pesa at the first time unakimbia mashindano faster.unaenda kugugumia mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom