Mbinu kuu ya TeamLowassa hii hapa

Cha muhimu wafanye kazi tu, wakileta utimu kazini wanageuka majipu wanatumbuliwa bila ganzi
 

Tulipokuwa tumefikia uwezekano huo unaweza kuwepo, lakini watajulikana kwa matendo yao na bahati nzuri JPM ni mfuatiliaji
 
Kweli ilikuwa safari ya matumaini maana watu bado wana matumaini na wanajuwa kupeana imani hewa, pia leo nimeamini yale maneno ya Raisi mstaafu wa awamu ya tatu aliyoyatowa siku ya ufunguzi wa kampeni za mgombea uraisi wa CCM pale jangwani mwaka jana.
 
 
Kwa watu wanaokusikiliza wewe wana tatizo kichwani.
 
We sema lowassa kapenyeza watu cdm yote ndio maana Mbowe hafurukuti lkn si serikali ya Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…