Hapo si unabadilisha usukanu unaondoka???
Kwa hiyo akiondoka anabeba vyote kwenye kiroba akitaka kuondoka anaaza kurudishia
Hapo si unabadilisha usukanu unaondoka???
si mpaka viwemowataiba redio, mirrors na vitu kibao
anaweza likuta gari liko juu ya mawe hata tyre hakuna na viti na engine
chezea wezi wewe