Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
Habari za weekend wana jukwaa hili la pendwa la Elimu(Education Forum)?
Poleni sana na majukumu.
Mimi ni Kijana wa miaka 19 nategemea kurisiti mwaka huu masomo ya
-History
-Geography
-English Language na
-Civics
Ngazi ya CSEE.
Jambo lililonifanya niandike thread hii ni kuomba ushauri na kuwauliza baadhi ya wanaJF wenzetu ambao wengine wapo Vyuo Vikuu au Advance Level ni mbinu gani waliyoitumia?
Binafsi mimi baadhi ya mbinu niliyotumia kifaulu baadhi ya masomo ni pamoja na
1.UBINAFSI WA KIJISOMEA
Sio Kama nilipenda kuwa mbinafsi la hasha kuna baadhi ya wanafunzi wenzangu hata nikiwaomba wanielekeze walikuwa wananikatalia kwasababu mimi ni kiziwi.
Hilo liliwafanya waone shida kunielekeza jambo lililopelekea kukaa pekee yangu na kujisomea.