Mbinu gani ulitumia kufaulu mitihani yako ngazi ya CSEE?

w̲̅w̲̅ k̲̅u̲̅w̲̅a̲̅ k̲̅a̲̅m̲̅a̲̅ m̲̅i̲̅m̲̅i̲̅ w̲̅a̲̅k̲̅a̲̅t̲̅i̲̅ w̲̅a̲̅o̲̅ w̲̅a̲̅n̲̅a̲̅s̲̅o̲̅m̲̅a̲̅ m̲̅e̲̅ n̲̅a̲̅p̲̅i̲̅g̲̅a̲̅ z̲̅a̲̅n̲̅g̲̅u̲̅ k̲̅e̲̅l̲̅e̲̅l̲̅e̲̅ w̲̅a̲̅o̲̅ w̲̅a̲̅k̲̅i̲̅w̲̅a̲̅ h̲̅a̲̅w̲̅a̲̅p̲̅i̲̅g̲̅i̲̅ k̲̅e̲̅l̲̅e̲̅l̲̅e̲̅ m̲̅e̲̅ n̲̅d̲̅o̲̅ n̲̅a̲̅s̲̅o̲̅m̲̅a̲̅ a̲̅f̲̅ u̲̅s̲̅i̲̅w̲̅e̲̅ u̲̅n̲̅a̲̅a̲̅n̲̅d̲̅i̲̅k̲̅a̲̅ v̲̅i̲̅t̲̅u̲̅ u̲̅s̲̅i̲̅v̲̅y̲̅o̲̅v̲̅i̲̅j̲̅u̲̅a̲̅
 
d̲̅u̲̅u̲̅h̲̅ u̲̅p̲̅o̲̅ f̲̅o̲̅r̲̅m̲̅ f̲̅o̲̅u̲̅r̲̅ n̲̅w̲̅ a̲̅f̲̅ h̲̅u̲̅n̲̅a̲̅ e̲̅x̲̅p̲̅e̲̅r̲̅i̲̅e̲̅n̲̅c̲̅e̲̅!!!?
mkuu! huyu anauliza mbinu kwa waliohitimu CSEE, sasa mm cna eperience hiyo labda mwakani nitampa maana ntakuwa nshamaliza 4m4.
 
Habari za weekend wana jukwaa hili la pendwa la Elimu(Education Forum)?

Poleni sana na majukumu.
Mimi ni Kijana wa miaka 19 nategemea kurisiti mwaka huu masomo ya
-History
-Geography
-English Language na
-Civics
Ngazi ya CSEE.

Jambo lililonifanya niandike thread hii ni kuomba ushauri na kuwauliza baadhi ya wanaJF wenzetu ambao wengine wapo Vyuo Vikuu au Advance Level ni mbinu gani waliyoitumia?

Binafsi mimi baadhi ya mbinu niliyotumia kifaulu baadhi ya masomo ni pamoja na

1.UBINAFSI WA KIJISOMEA
753ba4781530b4d457c3d0496ee79c7d.jpg

Sio Kama nilipenda kuwa mbinafsi la hasha kuna baadhi ya wanafunzi wenzangu hata nikiwaomba wanielekeze walikuwa wananikatalia kwasababu mimi ni kiziwi.
Hilo liliwafanya waone shida kunielekeza jambo lililopelekea kukaa pekee yangu na kujisomea.

5a125f495618c8b8508d46fb53c504bd.jpg
Kibongo bongo usikomae sana kusoma notes komaa na kusolve past papers tu ,utapata mabandaa mpaka utajishangaa.
 
Hustle ndo nilichotumia kufaulu pepa ..!! Xo msuli mrefu yaani ile full night toil
 
Back
Top Bottom