Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

kwa jinsi anavyoendesha nchi amedhihirisha wazi ni mtu wa visasi ,usitake kutupotosha hausiki.
 
Mimi naamini kuwa hakuna PANYA atakayemyumbisha Rais Magufuli na serikali yake.
Lakini ikibidi mimi nilidhani kuna haja ya kutumia mbinu alizotumia SADDAM HUSSEIN kumshikisha adabu yeyote aliyeonekana kuhatarisha usalama wa Nchi.
MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI, TUPO PAMOJA.
yupo wapi huyo sadam Hussein? upo pamoja nae ukimfinsha Udikteta? au upo nae pamoja kwenye kuchonga vyeti vya Maliyamungu Bashite? au upo natye pamoja kwenye kufuja milion 760 kwa kisingizio cha kumsaka faru JOHN? ipo wapi pesa ya Safari za nje? vipo wapi viwanda? ni bunge gani lilipitisha bajeti ya kujenga uwanja wa ndege chato? upo nae pamoja kwenye kununua ndege kwa cash? ww ndiyo GSM unapiga 10% ? endelea kuwa nae pamoja mpaka utapokuja kuzinduka.
 
Mimi naamini kuwa hakuna PANYA atakayemyumbisha Rais Magufuli na serikali yake.
Lakini ikibidi mimi nilidhani kuna haja ya kutumia mbinu alizotumia SADDAM HUSSEIN kumshikisha adabu yeyote aliyeonekana kuhatarisha usalama wa Nchi.
MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI, TUPO PAMOJA.
Kabisa mkuu, kuna watu wanafanya mchezo mchafu sana na lazima washughulikiwe ipasavyo.
 
kwa jinsi anavyoendesha nchi amedhihirisha wazi ni mtu wa visasi ,usitake kutupotosha hausiki.
kaunda kikundi kama kile cha enzi za idd Amin kinaongozwa na makonda Maliyamungu Bashite na mda si mrefu atamteua RC mpya kisha atazuga kuwa Maliyamungu Bashite
Atapangiwa kazi ingine kumbe kazi ndiyo hiyo hiyo atabakia kuwa nayo kimya kimya.
 
Kabisa mkuu, kuna watu wanafanya mchezo mchafu sana na lazima washughulikiwe ipasavyo.
mchezo mchafu upi? Daud Bashite Maliyamungu ndiyo kafanya mchezo mchafu hata msafishe vipi hamtaweza kumsafisha watanzania wa sasa wapo makini wanajua propaganda za waterezi wa Daud Bashite Maliyamungu.
 
umeeleza vizur tatizo umeegemea upande mmoja sana.


kama roma is no body sawa.



swalii ney wa mitego je?


Walivyotumia nguvu kubwa kwa ney wamitego mpaka rais kuingilia kati. lazima wanainchi tuwe na mashaka na serekali.

angalia logic usiendeshwe na hisia kama mtoto wa kike.
Usiwatukane mama zako
 
Mtoto wa Gamba Bashite kakulipa kiasi gani we we boya usiejielewa.
[Q
UOTE="Son of Gamba, post: 20556223, member: 108144"]Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
[/QUOTE]
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

By Son of Gamba.
HUU NI BONGE LA UNAFIQ!... TENA NI UNAFIQ UNAOUA UMOJA WETU... NI UNAFIQ UNAOKERA!..
 
Ili suala lipo kisiasa tu, Roma si tishio lolote kwa serikali hadi atekwe, kama kuondolewa wangedondoshwa kina Lowasa 2015 waliokuwa wana uwezo wa kuidondosha serikali nzima, tena Lowasa alikuwa mgonjwa wangeweza kumuondoa vizuri tu kwa kupandikiza "ugonjwa" mwingine.

Serikali ihakikishe inaingia chini kabisa kujua nani anahusika na huu upuuzi, kuna wahuni wamechukua fursa ya hali ya kisiasa, hawa si wakuwachekea, Roma hajawahi kuwa tishio na wala si tishio kwa serikali, waliomteka nia yao ni kutengeneza chuki na si kingine.
Umewahi kuwa kwenye timu inayoamua nani achomolewe na nani aachwe?!!!... Mbona mnadhalilisha vyombo muhimu kwa ulinzi na usalama wetu?

Unajuaje Roma ni si Tishio ila Lowasa? Mkikaa kimya bila kuleta hasira na uchochezi huu hamjisikii amani?
 
Nay alitekwa kwa siri au alikamatwa hadharani na kila mtu aliona.

Tumia akili zako kufikiri mambo kwa kina.

Kwa taarifa yako, Roma hajakamatwa na Polisi, ametekwa na "wahuni" wenye nia chafu dhidi ya Rais.
Unakanusha taarifa hizi kwa ushahidi upi? Au dhamira yako watu walaumu ili wakamatwe? Unawezaje kujua chombo gani hakikusiki na bado usijue waliomkamata?

Roma kapotezwa na nani?

Ben Saanane kapotezwa na nani?

Unajua waliko?
 
umeeleza vizur tatizo umeegemea upande mmoja sana.


kama roma is no body sawa.



swalii ney wa mitego je?


Walivyotumia nguvu kubwa kwa ney wamitego mpaka rais kuingilia kati. lazima wanainchi tuwe na mashaka na serekali.

angalia logic usiendeshwe na hisia kama mtoto wa kike.
Kweli kabsa
 
Mkuu hicho kikundi cha utetezi kinaongozwa na Le-mutuz hawana kazi mda wote na kuzurula kwenye mahotel na bar kaxi yao ni kumtetea Maliyamungu Daud bashite ili wapate pesa za kuishi nia aiba fulani ya ajira haramu nchini pesa za Umma inatumika kwa mambo ya hovyo hovyo tu.
I can see, maana kiukweli kila nikijaribu kuwa positive kwenye sera hizi najikuta nashindwa. Maana hazifikiriki wala hazipo vitabuni. Ni kama mtu tu anaamua alipendalo basi bila kuangia consequences zake.
 
Mungu ndiyo kafunua yote siku zote Mungu huwaonyesha wanadamu kwa njia mbalimbali, akina Babu Tale na Daimond wamepiga pesa za Maliyamungu Bashite lakini wakakosea kutengeneza movie kwa sababu director ana vyeti feki uelewa juu ya sinema upo chini, tunashukuru mungu kusimama kidete na kuonyesha njia zote za ubaya zilipo.
Issue siyo cheti, bali ni akili na kipaji cha mtu.
Kuna watu wangapi wenye vyeti katika nchi hii lakini hawajatoa mchango wa unaoridhisha kwa maendeleo ya nchi na wananchi kwa ujumla.
Wenye akili nzuri hawaangalii cheti cha mtu, bali wanaangalia utendaji kazi wa mtu.
 
Okay ,clouds nayo ilivamiwa na chama flani cha upinzani eeh,Naona pumbu zako zimerudi ndani ndo maana hata akili ipo tumboni
 
Unakanusha taarifa hizi kwa ushahidi upi? Au dhamira yako watu walaumu ili wakamatwe? Unawezaje kujua chombo gani hakikusiki na bado usijue waliomkamata?

Roma kapotezwa na nani?

Ben Saanane kapotezwa na nani?

Unajua waliko?
Inawezekana DJ anafanya huu mchezo mchafu. Wewe subiri utasikia tu.
 
Unafiki kama wa DJ na wenzake kumpoteza Ben s8 na kuisingizia Serikali?
UZURI WAKE KWENYE GAME HILI HAKUNA ALIYE SALAMA... UKIWA SALAMA LEO KESHO YATAKUKUTA HATA UKIWA BONGE LA MNAFIQ!...

TZ hatuna magaidi wa kuteka watu.... TAFAKARI
 
Ahhhhh logic u naelewa kweli we logic Embu tengeneza hixo syllogism zako .ney alikamatwa na polisi. Ney kama roma naye ni msanii
Kumbe roma kwa kuwa kupotea basi kakamatwa na polisi. You are stupid as they come.



ivi ulipata mda kurudia ulichoandika? soma tena alafu ujitukane mwenyewe sitaki kukutukana
 
Back
Top Bottom