Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Mbinu chafu za maadui wa Rais Magufuli

Nimekuelewa taahira wewe kumbe mpaka bi mkubwa wake amuite bwana Paul Makonda maji ya kuoga tayari ndio utaamini? Basi sawa. Sisi tunamtambua kwa namna alivyoapa wakati akipokea hiyo nafasi mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huyo unayemuita bi mkubwa wake, anajiita MAMA DAUDI.... Sasa sijui hiyo Paul umeiokota wapi....

Ahsante kwa kudhihirisha utahira wako.
 
Bi mkubwa wako atakuja kukutambusha Paul Makonda kuwa ndiye muhusika mkuu wa furaha yake ndipo utakapo mtambua. Kwa sasa endelea tu.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
Nikuulize swali moja: ukienda kwa mtu ukamueleza tatizo lako na anakuambia atalitatua ndani ya siku moja utamuamini au hautamuamini?.
 
Nchi kubwa zenye technologia ya hali ya juu ya ulinzi na usalama kama Marekani watu wanatekwa na wengine huwa hawapatikani kabisa, itakuwa Tanzania nchi ya dunia ya tatu?

Wewe acha ujinga wako; kwani kwavile huko marekani wanatekana na kuuana na sisi ndio tuige ujambazi wao? Sio kila kitu wanachofanya nchi zilizoendelea ni lazima na sisi tuige na ndio nyinyi kwavile wazungu wanaoana wenye jinsia moja na kuiga kwenu mnataka mambo hayo nasi tuhalalishe huku kwetu!!! Huo ujinga kaeni nao kwenye vichwa vyenu vilivyojaa pumba.
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.

Rais `Magufuli ni Rais ameingia madarakani na kupendwa na Watanzania wengi sana, nikiwa mmojawapo. Kisa kimewashituwa watu nimkitendo cha Mkuu wa Mkowa alivyotumia Chombo cha kulinda sheria kuivunja sheria. Waziri mhusika akachunguza, pamoja na kumpa fulsa Mkuu wa Mkowa kujitetea, akapitia dirishani kukimbia ukweli. Rais akamufukuza mtetea haki, na kumuacha mvunja sheria. Unamwambia Rais Magufuli apumuze na achape kazi. Kazi ya nani? Si ya Watanzania? Unaweza kutawala kwa raha kweli nchi isiyokuwa na amani? Hata kama Watanzania hawasemi kwa ukimya wao, badi wewe sio binaadamu kuwapuuza watu millioni 50 kumukinga mtu mmoja. Watu kama nyinyi ndiyo maadui wa Rais wetu. Turudishieni `Rais wetu aliyeanza kazi na ufagio kutusafishia `Tanzania na kutupa hope. Magufuli aliemfukuza Nape HUYU sio original tunamashaka. A true friend will tell you the truth even when it hurts. Wewe sio rafiki mwema wa Rais Magufuli ni adui yake Number moja..
 
Bi mkubwa wako atakuja kukutambusha Paul Makonda kuwa ndiye muhusika mkuu wa furaha yake ndipo utakapo mtambua. Kwa sasa endelea tu.
Kama BI MKUBWA WAKO alivyokutambulisha kuwa mimi ndio FURAHA YAKE..
 
Kabisaa!! Ila karibia atakumwaga kwa huu ushamba na ulimbukeni wa kulimbukia mambo ya mjini. Ila bi mkubwa wako kamzimika sana Mr Paul Makonda atakutambusha tu na utaelewa na hilo jina lingine utampa anayelistahili maana hata bi mkubwa wako kamuapisha kwa hili la Paul Makonda.
 
Yes! Wamekuwa maadui baada ya kuanzisha vita ya kupambana na wakwepa kodi, wauza unga, wafanyakazi hewa na wapiga dili waliojaa kila kona ya nchi hii.

Wamekuwa maadui baada ya kuanza kuwatumbua wazembe.
Sio kweli....magufuli na serikali yote ya ccm wameamua kwa makusudi kuwa maadui wa watz kwa kuvunja sheria na katiba wavyoahidi kuvilinda............
Kujenga airport chato kibabe ambayo haina faida yoyote kwenye madawa, elimu, etc ni kuleta uadui na watz...
Rais kulea waharifu kama bashite ndo kujenga uadui na wananchi....
Rais kutumbua wanaofuata sheria km nape ndo kujenga uadui na watz
rais kukejeri na kutukana watz hadi kula rambirambi za maafa ndo kutengeneza uaduai na watz.....
Nyie ng'ombe endeleeni kutetea ujinga lkn mwisho wake ukaribu sna
 
Kama usemayo ndiyo,kwann asitoke hadharani na kukemea kwa uchungu uleule alioonesha kwa kumtetea bashite????
 
Nimekuwa nikisoma "comments" nyingi sana humu JF zinazohusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na nyingi kati ya hizo comments zinamlaumu Rais Magufuli na Serikali yake. Hata alipopotea Ben Saanane, watu walikuwa wanaishutumu Serikali ya Rais Magufuli.

Mimi ningependa kuhoji; hivi ninyi mnaoishutumu Serikali mna uhakika gani kuwa Serikali ndiyo inahusika na mambo haya?
Binafsi naamini na ninatambua wazi kuwa hakuna uthibitisho wowote ule unaoonyesha kuwa Serikali ndiyo inahusika.

Serikali yoyote ile duniani huwa na maadui. Hakuna Serikali isiyokuwa na maadui hapa duniani. Hata Serikali yetu inayoongozwa na Rais Magufuli pia ina maadui. Maadui hawa hawapendi kuona Rais wetu Magufuli anaendesha nchi hii kwa amani na mafanikio. Maadui hawa watafanya kila wawezalo ili kumchafua Rais na Serikali yake mbele ya macho ya Watanzania na mbele ya jamii ya kimataifa pia.

Inavyoonekana sasa hivi, maadui hawa wanatumia nafasi iliyojitokeza sasa hivi hapa nchini au mwanya uliojitokeza kufanya uhalifu kwa kisingizio kuwa Serikali ndiyo inahusika. Kuna watu wako tayari hata kutoa roho za wenzao ili mradi tu malengo yao yafanikiwe.

Mimi nina mashaka sana tena sana na baadhi ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Vyama hivi vikiongozwa na chama fulani hivi, vinaendesha siasa chafu sana hapa nchini ili tu kuhakikisha taswira safi ya Serikali ya Rais Magufuli inachafuliwa kwa gharama yoyote ile.

Kuna baadhi ya waliokuwa viongozi wakubwa tu hapa nchini waliokuwa kwenye madaraka nyeti, sasa hivi wako kwenye upande wa upinzani na viongozi hawa siyo "MALAIKA". Ni watu wenye uchu wa madaraka, ni watu wenye mbinu chafu sana za kutafuta madaraka, ni watu wa kufanya siasa za "matukio" na "maigizo". Watu hawa ni hatari sana kuliko tunavyofikiria, ni hatari sana tena sana.

Nafahamu kuna baadhi yenu mtatukana sana hapa, lakini amini nawaambieni, ukweli utafahamika na mtabaki midomo wazi.

Kila serikali hapa duniani ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha uwepo wa serikali husika. Hata Serikali yetu pia ina namna ya kuwashughulikia watu wenye kuhatarisha usalama wa nchi hii, lakini siyo Roma wala siyo Ben saanane. By the way who is Roma Mkatoliki to the government? Roma is no body.

Kama ni kuwashughulikia watu, basi mimi nafikiri Lissu angekuwa wa kwanza, tena siku nyingi sana na siyo Ben Saanane au Roma. Kama ni kuwafunga midomo watu, basi Lema angeshapotezwa siku nyingi sana na siyo Roma. Msijidanganye, kati ya hao niliowataja hakuna mwenye uwezo wa kujificha ama kujilinda iwapo Serikali itaamua kwa dhati kumshughulikia na kumpoteza mazima! Hakuna mwenye uwezo wa kujilinda hata awe nani.

Watanzania kuweni makini sana na mambo yanayofanyika sasa hivi hapa nchini. Msikimbilie kumtukana na kumlaumu Rais Magufuli kumbe chawa anayewatafuna mmembeba wenyewe kwenye nguo zenu.

Serikali inalitambua hili na inajua ni nani anayehusika na mchezo huu mchafu na It's just a matter of time, kila kitu kitajulikana. Serikali ina mkono mrefu sana na mbinu hii inayotumiwa na "MAADUI" imeshajulikana na sasa hivi kuna kazi maalumu "inaendelea". Kazi maalumu ambayo wewe au mimi hatutatangaziwa au kujulishwa ni namna gani inafanyika.

Rais Magufuli, wewe piga kazi na wala usiyumbishwe na mbinu chafu za hawa wahuni wachache wanaotaka kukumaliza. Tuko pamoja na wewe Rais wetu mpendwa.

By Son of Gamba.
WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA wenye akili zetu tushawagundua na tunamuunga mkono Rais wetu.
 
Nay alitekwa kwa siri au alikamatwa hadharani na kila mtu aliona.

Tumia akili zako kufikiri mambo kwa kina.

Kwa taarifa yako, Roma hajakamatwa na Polisi, ametekwa na "wahuni" wenye nia chafu dhidi ya Rais.
Umejuaje kama Roma hajatekwa na polisi?
 
Upo nyuma yake ukiwa nyumbani kwa Lugumi? au ukiwa unachonga vyeti vya Maliyamungu Bashite Daud? au upo nyuma yake na pesa milion 760 za faru JOHN? Pesa za viwanda hakuna lakini pesa za kumlinda na kumtetea Maliyamungu Bashite Daud mnayo.

yaani shida yako ni kuwa unataka magufuli achukiwe na kila mtu, nature haiko hivyo mkuu!!! ha ha ha

hat id amini alipendwa na hitler alipendwa! utakufa kwa pressure bure
 
Vyombo vya ulinzi viko kazini siasa na porojo tungeweka pembeni tusubiri taarifa za vyombo hivyo.
Japo, majibu yake watu hawataamini.
Watu hawataamini taarifa/majibu watakayotoa kwasababu hawaaminiki
 
umeeleza vizur tatizo umeegemea upande mmoja sana.

kama roma is no body sawa.

swalii ney wa mitego je?

Walivyotumia nguvu kubwa kwa ney wamitego mpaka rais kuingilia kati. lazima wanainchi tuwe na mashaka na serekali.

angalia logic usiendeshwe na hisia kama mtoto wa kike.
na wewe hapo mwisho umekosea kuna watoto wa kike wana akili nyingi tu mfano Condoleeza Rice ni profesa wa chuo kikuu cha Stamford huko Marekani na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani.

kuna wanawake wana akili kuliko wanaume mkuu.
 
Kama usemayo ndiyo,kwann asitoke hadharani na kukemea kwa uchungu uleule alioonesha kwa kumtetea bashite????

Ulimuona Dr. Kikwete, akitetea au kukemea kipigo cha mabwepande?

Rais, ana watu wanaofanya kazi hiyo ya kukemea siyo kila kitu Rais aonge .

Waza tena.
 
Back
Top Bottom