Duh, nilijua bonge la ushahidi. Hizo story za whatsapp hata ukiwa peke yako chumbani na simu tano tu unazitengeneza. Jipange, kazi ngumu mwaka huu. Mkicheza hapa ndo ntolee!
Duh, nilijua bonge la ushahidi. Hizo story za whatsapp hata ukiwa peke yako chumbani na simu tano tu unazitengeneza. Jipange, kazi ngumu mwaka huu. Mkicheza hapa ndo ntolee!
Picha namba moja pia inatengenezwa kwa simu tano?
Watu wengine vichwani mna konokono sio akilo.
Maskini ccm
Nakumbuka kama kuna clause kwenye sheria yetu ya uchaguzi inayo kataza wagombea kuwalipia wapiga kura usafiri. Hii imekaaje?