carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,802
Kwahio wakina waliojenga mnara wa babeli walikuwa na roho...mbona mungu aliwazuia wasifike huko??Mbona mtoa mada unachanganya kati ya mbingu na universe
sayari zote,nyota,jua,Galax, mawe na vitu vyote vilivyo kwenye space kiujumla inaitwa THE UNIVERSE sasa katika iyo universe ndipo mwanadamu anao uwezo wa kwenda katika kila kimoja kasoro vitu vyenye changamoto ya kusogelewa kama jua
NB: katika vitu vinavyotengeneza The universe mbingu haipo ata kidogo kwaiyo unaposema binadamu anauwezo wa kwenda angani ni kusavei katika hii universe lakini sio mbinguni ambapo kwenda huko kunaitaji roho na mwili
